Tenaaaa,kuna watu wanafanya wanafanya kijinga kweli kweli.
Achilia mbali styles kama za "kaa vizuri nikurenge"
Mie hii tradition ya kusema "mimi napiga goli 6 hadi 7" naona ni ushamba tu.
Laiti mngejua nguvu inayo tumika kukojoa paleeeee dah.
Kwanini usiwe mchumi wa ngono?
I mean,wewe unapiga bao 6,kila bao dakika 5-7.
so kwa bao 6 ni dakika 30-42.......
Kwanini usibaje hako kamoja ukapiga kwa mda huo huo?
Akiwa mlafi zaidi atleast viwili,usipoteza nguvu nyingi na mwisho haumridhishi
mmwenzako.
Stuka,USIMTESE WALA ASIKUUE MAPEMA.