Ndio maana nimesema kuwa wanasiasa ni watu wanao ishi maisha yao halisi yaani kila kitu wao wanafanya siasa siasa tu, sasa ona hadi kuomba papuchi anapiga siasa , chezea mr. politician. wewe.
Hata mimi mkuu nashangaa sana. Eti utasikia Watu wangu wana shida sana ya huduma za afya, maji, Barabara,N.K Ebo! una watu wewe mungu? Mara ohhh! serikali imesikia kilio cha wananchi! Ebo! Yani wananchi na serikali ni nani Bosi wa mwengine? Yani nilitaka niendelee kuongeza mengine lakini naona Basi nililokuwa nalisubiri lilee pale limefika hivyo naahirisha lakini nikifika Hom naendeleza!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.