Tushirikishane

Tushirikishane

LUWINGO

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
33
Reaction score
8
Habari wanajamvi.

Mimi ni mjasiliamali, nina jihusisha na utengenezaji wa bidhaa za ngozi, hasa sandals aka viatu vya kimasai, mikanda, mabegi na bidhaa nyingine nyingi. hivi sasa nipo katik mchakato wa kupanua uzalishaji kulingana na soko la bidhaa zangu, lakini changamoto yangu kubwa na vifaa vya kutendea kazi kama vile CHEREHANI(mashine) yenye uwezo wa kushona NGOZI.

Tafadhali, naomba mzoefu na mashine hizo anijuze wapi ninapoweza kuzipata na kwa bei gani?

PIA NAKARIBISHA USHAURI WA KIUFUNDI KUHUSU BIASHARA YANGU.

Asanteni sana.
 
Jithdi kukutana na mafund wenzako ambao mnafahamiana au nenda pale maeneo ya manzese kama upo Dar kuna mafundi weng wa viatu.Tangu nkiwa nasma primary mpaka namalza chuo bab yang alikuwa ananfanyia shoping ya viat maeneo hayo.

so mkuu tembelea hapo ujionee mwenyew jinsi wanavyofanya kaz na masuala yote ya kiufundi jinsi ya kupanua biashara yako
 
Kama unatengeneza mikanda ya ngozi ya ng'ombe ni pm.
 
Jithdi kukutana na mafund wenzako ambao mnafahamiana au nenda pale maeneo ya manzese kama upo Dar kuna mafundi weng wa viatu.Tangu nkiwa nasma primary mpaka namalza chuo bab yang alikuwa ananfanyia shoping ya viat maeneo hayo.

so mkuu tembelea hapo ujionee mwenyew jinsi wanavyofanya kaz na masuala yote ya kiufundi jinsi ya kupanua biashara yako

asante sana mkuu, bt umenimbia nitembelee manzese sehemu gani pale.
lot of thnx
 
Back
Top Bottom