ili kuzuia hili ilinibidi niiroot simu then nidowload avast then niiruhusu firewall ya avast ifanye kazi kwa simu yangu kisha nikablock apps zote ambazo kwa kiasi kiukubwa zinatoa ads kwa simu yangu mambo yakawa shwari maana ilikuwa kero hufanyi kitu tangazo