Jamani wana Jf, mimi nina playstore kwenye simu yangu. Naomba mnisaidie niwe na playsyore ya iphone apps, nataka kudownload apps za iphone au apple kwenye simu yangu
3miles!! Ok ngoja waje wataalamu. Ila kama ni video ya kudawnload waweza mtumia link yeye aka dawnload pia, au uka iweka mediafire halafu uka share kwake.

Lucky patcher inaweza chakachua game bila simu kuwa rooted, ila inakuwa haikupi all acces yani inafunguka vitu vichache, tofauti na simu iliyo kuwa rooted inafunguka full.