Msaada kwenye tuta
Nina samsung gt i9082 ikiwaka inaishia ktk neno samsung tuu, naomba mwenye os/firmware current ya hyo pls, ili niipige chini au mwenye kujua direct link ya kuidownload maana nakaribia kuchoka na sina hela yakumpelekea fundi mi mwenyewe huwa nazibutua tuu ila leo nomekwamia hapo,