Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
Cm inakuwaa na speed isiyo ya kawaidaaa
Unauwezo wa kuweka apps nying ambazo km hujaroot huwezzm zipataaa na ni kaliii saanaaa
Stopping background apps
Converting downloaded apps into system storage