Au msaada wa App ya kuweza Kuroot simu NOKIA nimejarbu hzo zote mlozozitaja imeshindikana, Ya kwangu ni Strong Android. Ila one click inaweza Kuroot but shida n kwamba mpaka uilipie Kwanza ndo uitumie, nifanyeje
Google translate, hiyo ina tafsiri ya lugha nyingi sana hata kisukuma, kichaga N. K. Ila unahitaji ku-download package za lugha unazo tafsiri. Package ziko ndani ya hiyo app. Lakini pia unaweza kuandika au ku-copy maneno kutoka chanzo chochote na uka-paste kwenye site ya Google ukapata tafsiri yake vizuri kabisa.
Hizo Apps alizoziorodhesha ni Store za Apps zinazokua hazina usumbufu wa kulipia au kuwekwa matangazo au kuuzwa kama zitakavyopatikana PlayStore na Zaidi utaweza kupata App ambazo kwa PlayStore hazipo...
Wakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka