Mtoboatonge.
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 243
- 74
Ipo play store?Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
hiyo channel inaitwaje....
Vip aki formart simu kabla ya kuitumia utaweza pata information yoyote2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake
Unamaanisha Kipi? Vimezungumzwa Vingi.Ipo play store?
😀😀 mkuu mi mwenyewe niliishia kuuliza kama wewe afu nilichokuwa nauliza sio appIpo play store?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]App ya kuzuia vyuma visikaze?
Tala, Branche Na Haraka. Hizo Vyuma Havikazi Kabisaa!!App ya kuzuia vyuma visikaze?
Hiyo ni shughuli pevu mkuu...
Angalia playstore app inayo uzwa, kisha ingia aptoide search kwa jina utaipata na wakati wa ku search mwisho weka prime au pro
Appyhider naye iko vzur tu mm ndo ninayoitumia halfu uzur wake unaweka na ulnz kweny hzo app ambazo umezificha ili MTU mwingine asiweze kufungua
Yaah unaweza but baadhi ya features hutoweza kuzi access...Hivi app ya luckypatcher inafanya kazi kwenye simu ambayo sio rooted
FL sijawahi kuitumia hiyo App may be jaribu google andika FL studio.apkMkuu, mbona FL Studio mobile haipo kwenye aptoide kiongozi au nakosea wapi labda.
FL sijawahi kuitumia hiyo App may be jaribu google andika FL studio.apk
upo telegram?Yah, ila ni kwamba play store ipo na pia ni ya kulipia ila naona aptoide haipo.
Au aptoide kuna baadhi ya apps huwezi kuzipata mpaka play store tu...?
Curious to know bro.
Ni audio au lyrics?App yangu nyingine ya Nyimbo za Kristo inapatikana Play Store! Kuipakua bofya kiungo hiki Nyimbo za Kristro – Програми Android у Google Play
Jaribu maelezo ya mdau hapo juu...Yah, ila ni kwamba play store ipo na pia ni ya kulipia ila naona aptoide haipo.
Au aptoide kuna baadhi ya apps huwezi kuzipata mpaka play store tu...?
Curious to know bro.