Airtime Scanner – Applications Android sur Google Play
Tumia hiyo App kuingiza voucher baada ya kukwangua.
1. Fungua App kisha fuata maelekezo ya setting.
2. Kwangua vocha kisha weka nyuma ya camera ya sim, app ita scan zile namba.
3. Ingiza kiasi cha vocha mfano 500, au 1000 nk kisha ok.
Utajibiwa kuwa umeongeza kias kadhaa salio lako ni kiasi kadhaa.