Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hakuna lucky patcher prime
Sema hiyo yako ni ya zamani
Ingia HAPA upate latest one
.
Mkuu hii kitu inakuja na virus kibao. Divice yangu inanikatalia katu katu. Nipe option nyingine kama ipo p/se
 
wakuu kuna jinsi ya kufanya ili uweze kuona mtu aliyeangalia whatsap profile yako?
 
Kuna Application ukiweka kwenye Simu.....Mtu akiwa umbali fulani kama nina Namba yake itaniambia kuwa fulani yupo kilomita 10 toka mimi nilipo ni app gani hiyo?
 
Kuna application inaweza kukwambia insta katika account yako waliotembelea kwa siku ni wangapi walio angalia profile yako ni wangapi ni app gani
 
Inasaidia nn?
Inakujulisha raini mpya ikiwekwa kwenye simu yako kama MTU kakuibia simu akitia raini yake inakujulisha kwa no ya simu uliyo ichagua kuwa simu yako imetiwa rain yenye no xxxxxxxxx hiyo unaweza kumjua aliye chukua simu yako nakama umetia kwa MTU wako wa karibu akibadili raini unajua no mpya anayo tumia
 
Wakuu naomba mnisaidie faida za kuroot simu, na ni apps gani za ziada ntakazo zipata baada ya kuroot na kwenye app gani ya kudwnld
 
mimi bhana napendaga sana sifa na kujifunza vitu hivyo huwa natumia app inayoitwa translator ambayo ina kila aina ya lugha na jins maandish yk yanavyotamkwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nisaidie faida za kuroot cm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…