Hebu acheni kutuvurugia utaratibu bana ni add ni add,
Acheni ulimbukeni jamani hivi wakikuadd huko kwenye group utazikuta hizo app walizojadiliana siku mbili au tatu zilizopita, wakati hapa umekuta app zilizo jadiliwa tangu hii post imeanza.
Nitakuwa mstari wa mbele kupinga hili swala kwa maslahi mapana ya hii thread ingawa mimi sio muanzilishi.