mkuu samahani naomba unisaidie namna ya kuroot hizi simu za mashirika ya mitandao kama Vodafone au halotel! Nimejaribu kutumia maelekezo yote ya humu inagoma! Labda kama kutakuwa na njia tofauti
Wakuu naombeni msaada wa haraka cm yangu nime root ss majanga yaliyopo kila app lock ninayoweka haifungi cm yangu yaani hapa cina amani kabisa msaada kwenye tuta nimekwamaaa!