Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wadau Taangu Serikali itoe msimamo wake juu ya wageni/wahamiaji wanaoishi nchini na wanafanya kazi ambazo watanzania wanaweza kuzifanya Matunda yameanza kuonekana sasa watanzania wamekua wakipeleka CV na Kupata ajira Ushahidi ni Kampuni moja ambayo hata walinzi walikua ni wa kigeni lakini nimeona sasa wanawatafuta watanzania kwa Udi na uvumba