'Tushee' VITUKO vya JUMA hili..

'Tushee' VITUKO vya JUMA hili..

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Mwisho wa juma umefika. Juma hili,rafiki yangu mmoja,Mwalimu wa Mzumbe Sekondari,alitumia sh. 7000 kwenda kwa Mkurugenzi wa Elimu Mkoa wa Morogoro kudai sh. 3000 aliyokatwa kilazima kuchangia mbio za Mwenge. Wewe je?
 
kweli wiki hii balaa tupu hii huyo mwalim imenishangaza...
 
Juma hili Jeshi la Polisi limejipeleleza lenyewe na kujiachia huru kiushahidi. Ni kuhusu Dr. Ulimboka...
 
Suala la huyo ticha si sh 3000 ila nikuonyesha hapendi kutozwa mambo ya ujinga much less mwenge. Ni alitaka kupeleka meseji.
 
Ni kweli Mkuu Remmy. Hata yeye alisema vivyo hivyo...
 
Mwisho wa juma umefika. Juma hili,rafiki yangu mmoja,Mwalimu wa Mzumbe Sekondari,alitumia sh. 7000 kwenda kwa Mkurugenzi wa Elimu Mkoa wa Morogoro kudai sh. 3000 aliyokatwa kilazima kuchangia mbio za Mwenge. Wewe je?
hahahha hii ni koboko kha!
 
Mwisho wa juma umefika. Juma hili,rafiki yangu mmoja,Mwalimu wa Mzumbe Sekondari,alitumia sh. 7000 kwenda kwa Mkurugenzi wa Elimu Mkoa wa Morogoro kudai sh. 3000 aliyokatwa kilazima kuchangia mbio za Mwenge. Wewe je?

Mwanangu nauli ya Mzumbe-Mjini imeshafika 3500?
 
Juma hili kichaa kapewa profile ya maana na majina mengi kisha kabambikiwa kesi ya Ulimboka
 
Back
Top Bottom