Tushee Ujuzi

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,455
19,692
ndio wakuu j2 njema. kwa leo naomba mkuu yeyote mwenye ujuzi waku crack hizi console games eg. ps2 ps3 or xbox kwenda kwenye pc mode. simaanishi kwa ku2mia emulators lyk pcsx2 or VGS but kwa other means. shukran wakuu

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,288
1,836
Hauwezi kwenda "PC Mode" na game ya console, iko programmed kwa ajili ya console sio kwa jaili ya PC. Haiwezekani.

Ndo maana unahitaji hizo emulator zina emulate console hardware.

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,455
19,692
Hauwezi kwenda "PC Mode" na game ya console, iko programmed kwa ajili ya console sio kwa jaili ya PC. Haiwezekani.

Ndo maana unahitaji hizo emulator zina emulate console hardware.

kuna jamaa wangu aliwahi kututumia nfs carbon kutoka states ambayo imekua cracked from ps2

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,288
1,836

kuna jamaa wangu aliwahi kututumia nfs carbon kutoka states ambayo imekua cracked from ps2

Cracked from PS2 maana yake nini? Hauwezi kuicrack gemu ya PS2 ikarun kwenye PC au vice versa, ziko made na compiled tofauti OS ya PS2 sio Windows. Ni kama useme uicrack program ya Windows ifanye kazi Linux au Mac haiwezekani.

Emulator zinakaa kati ya Windows na gemu na "zinaidanganya" gemu ifikiri kuwa inarun kwenye OS ya PS2 kisha inatafsiri instructions za PS2 into Windows ndio njia pekee ya kurun console games kwenye PC.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom