hili la chama cha viziwi ni mara 4 nmeenda ofisi zao kwa huu mkoa (MTWARA) sikifanikiwa kuwakuta hili ni moja ya mambo nayotaka kuyafanyaSiku hizi kuna vifaa wanaweka ili uweze kusikia, ulishawahi jaribu?
Na pia jiunganishe chama cha viziwi ili uweze kupata msaada.
ni kweli mkuu vinasaidia kidogo sana huku vina madhara makubwa zaidivile vifaa nasikia vina maumivu yake, maana ukikivaa jamaa akikwarua hata kdg unaskia balaa.
kuna jamaa yangu yuko na tatizo ilo baada ya kuugua akiwa kijana huwa anavaa mara 1 sana akisema vinaumiza.
Jinsi kukusaidia inaweza kuwa Ngumu yaani unavyojibu ni kama mtu ambaye 'mgonjwa yeye na Daktari ni yeye yeye' Basi watu wa dizaini hiyo wana tabu hao..! Hawashauriki.mkuu hivi vidude ninavyo tatizo ni kuwa some vinawakubali Some vinawakataa binafsi havinisaidii
mkuu mimi ni mwalimu wa kawaida si viziwi!Si kwamba ninakusimanga ila kama unaenda kuomba kazi kuwa wewe ni kiziwi unaomba kazi ya ualimu huku huna hata ujuzi wa kusema na viziwi nadhani hapo ndio una shida.
Rudi kasome course ya viziwi nakuhakikishia hutaenda skuli 2 kabla hujapata kazi
Basi jikite katika kuelewa lugha ya alama, hiyo ndio fursa uliyonayo mkuu.mkuu mimi ni mwalimu wa kawaida si viziwi!
Nina uzoefu na uwezo mkubwa wa kufundisha wanafunzi wa kawaida bila shida yoyote!
Shule nilizoomba zote ni za kawaida si viziwi!
Nimewah kujitolea kufunfisha shule ya viziwi na hapo ndipo nilipojifunzia lugha ya alama so lugha alama naifahamu kwa kiasi chake
Pole saana, jaribu kutafu high ended kwenye Alibabamkuu hivi vidude ninavyo tatizo ni kuwa some vinawakubali Some vinawakataa binafsi havinisaidii
asante sana kaka nami pia huko ndiko niendako!Pole sana ndg.. Mie pia nina rafiki yangu alipata hilo tatizo akiwa sekondari school, kadri siku zinavyosonga anapoteza kabisa uwezo wa kusikia vyema. Mungu kamuongoza kafika chuo Kikuu (Education) mwaka wa pili mambo yakagoma, tatizo likazidi ikabidi ahairishe masomo....Baada ya muda kashauriwa kusomea ualimu wa viziwi...Mwaka huu Mungu akijalia atahitimu masomo yake.
Endapo nawe mambo yataendelea kuwa magumu katika upatikanaji wa ajira jaribu kufanya hivyo..
Mungu akutangulie [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
samahani kama nimekukwaza mkuu!Jinsi kukusaidia inaweza kuwa Ngumu yaani unavyojibu ni kama mtu ambaye 'mgonjwa yeye na Daktari ni yeye yeye' Basi watu wa dizaini hiyo wana tabu hao..! Hawashauriki.
Si kwamba ninakusimanga ila kama unaenda kuomba kazi kuwa wewe ni kiziwi unaomba kazi ya ualimu huku huna hata ujuzi wa kusema na viziwi nadhani hapo ndio una shida.
Rudi kasome course ya viziwi nakuhakikishia hutaenda skuli 2 kabla hujapata kazi
Kuna wakati tunalazimika kuweka matatizo yetu pembeni na kumshukuru Mungu, Baadae mambo yakiwa Sawa Utatazama ulipo toka na Mapito uliyopitia na kufurahia kwamba hukukata tamaa, Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.nashukuru. Sana ndugu yangu!