sijawahi sikia hiki kilimo kwa hapa kwetu na kuna kingine ni cha shear nut, naona nacho kinalipaHapa nchini kuna sehemu wanalima hizi almonds?
Ni mikubwa zaidi ya mibuni inakua na kuzidi hata mkorosho, ila inaonyesha inahitaji mtaji usio na mawazo ikiwa unataka kulima kibiashara kwani shughuli yake si ya kitoto...naona ni miti mikubwa tu kama mibuni, sasa sijui ka mbegu zake sa supermarket zinaweza ota manake tayari zishakaushwa na umeme
mie nataka kuwa mojawapo unaweza ukanipa mwanga, na wapi nipate mbegu bora za hii mimea, nitauza mifugo yangu huko kijijini niweze himili hiki kilimo na naona hakishambuliwi na magonjwa kwa sanaNi mikubwa zaidi ya mibuni inakua na kuzidi hata mkorosho, ila inaonyesha inahitaji mtaji usio na mawazo ikiwa unataka kulima kibiashara kwani shughuli yake si ya kitoto...
Mkuu sina uzoefu na hii kitu zaidi ya kusoma kwenye makala ila hilo suala la mbegu ngoja nitauliza kwa jamaa wa kilimo pale wizarani tuone kama kuna uwezekano wa miche kupatikana...mie nataka kuwa mojawapo unaweza ukanipa mwanga, na wapi nipate mbegu bora za hii mimea, nitauza mifugo yangu huko kijijini niweze himili hiki kilimo na naona hakishambuliwi na magonjwa kwa sana
nitashukuru sana mkuu, tena nitafurahi sana,Mkuu sina uzoefu na hii kitu zaidi ya kusoma kwenye makala ila hilo suala la mbegu ngoja nitauliza kwa jamaa wa kilimo pale wizarani tuone kama kuna uwezekano wa miche kupatikana...
Sio nia yangu kukupinga. Ni majadiliano. Israel ndio mlimaji mkubwa na mtumiaji wa almond hapa duniani. Ni maoni yangu kuwa Singida inaweza kuwa mwafaka kwa kilimo hiki kwa sababu. Kinahitaji mvua kidogo ili kupata matunda ambayo yanahitaji jua kukauka.Kilimo chan Almonds kipo ktk mkoa wa Morogoro. Ni mmea mwepesi sana kuota na kukua, unahimili vyema mabadiliko ya hali ya hewa. Unahitaji hali ya hewa yenye mvua za kati na zaidi.
Hukua kwa urefu sana, ila ktk ukulima wa kisasa ni muhimu kupunguza matawi.
Tuwasiliane kwa ushauri zaidi. 0713370555
Fafanua kauli yako mkuu.Aisee almond elimu
Morogoro sehemu gani wanalima almond?Kilimo chan Almonds kipo ktk mkoa wa Morogoro. Ni mmea mwepesi sana kuota na kukua, unahimili vyema mabadiliko ya hali ya hewa. Unahitaji hali ya hewa yenye mvua za kati na zaidi.
Hukua kwa urefu sana, ila ktk ukulima wa kisasa ni muhimu kupunguza matawi.
Tuwasiliane kwa ushauri zaidi. 0713370555