Tushare game za android

ZOMBIE ASSAULT SNIPER...(hatari sana hii)
ENEMY STRIKE.....(noma sana hii game!)
 
ukipata hii game utakuwa addicted
ni kali mnoo
ya kivita
graphics kali
mishen za ukweli
inaitwa frontline commando d-day
 
Kama Wapenda Racing Pakua Hii Game GT RACING 2..

Kama Wapenda Ya Kivita Chukua hii BIA3..(Brothers in Arms 3)

Ila Yote ni Kama 2.5GB
 
Pakueni hii game top eleven ..be a football manager . Unaweza ukacheza online , yani lazima uwe addicted .
 
ukipata hii game utakuwa addicted
ni kali mnoo
ya kivita
graphics kali
mishen za ukweli
inaitwa frontline commando d-day

My favourite game, ilikuwa n addiction kwangu. N kweli real combat na mission za ukweli. N game ambayo inakupa uhalisia wa ww2. Linaanzia kipindi Allies wanatua Normandy, Utah, Omaha na Sword beaches. Kiukweli katika android games, D day frontline ndio namba 1 kwangu mm.

Mkuu, hili game nimelicheza na nimemaliza missions zote. Nicheki nikupe tricks.
 

Attachments

  • 1427224054048.jpg
    56.5 KB · Views: 461


Hizo ndizo free games ambazo ninaweza nikacheza ila zinahitaji space kubwa kama hiyo gangsta vegas ina 2.5 Gb
Bila kulisahau game la deer hunter

kwenye simu yenye 1GB RAM inaweza kusuport doz gamez?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…