Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 536
- 2,279
Je, walifunga ndoa kanisani?Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita.
Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba ujauzito hivyo akapata mtoto wa pili. Wote wa kiume. Basi maisha yakasonga, Leki akaona kwanini nisimuoe Siah. Akaoa, maisha yakaendelea. Mtoto huyu wa Leki, alivyokuwa na miaka miwili Siah akaanza kucharuka. Ukiangalia katikati yao mwanamke ana mishe za kueleweka kuliko mwanaume. Na pia body yake inalipa kwa vigezo vya wanaume wengi.
So kutokana na mishe zake (ana biashara actually), anakutana na masponsor kila mara. Anahongwa sana hivyo anadiriki kumletea mume wake jeuri mbele ya jamii. Kuna siku moja, Siah alikuwa amegombana na mume wake, akashika kisu kama anataka kumchoma. Majirani wakaingilia kati wanamkuta Leki anatoka damu mkononi akimnyang'anya Siah kile kisu.
Kinachonihuzinisha, huyu mwanamke ana dare kumwambia mwanaume waziwazi "wewe si wa hadhi yangu, najiuliza ilikuwaje nikaolewa na wewe." Mtoto wake wa kwanza anamwambiaga maneno machafu sana huyu baba, na huyu mtoto ana miaka 9. Na hata afanye kosa gani, ole wake huyu baba amguse. Huyu mwanaume anatia huruma sana. And the fact hana kipato kizuri imemuondolea confidence.
Mtoto unadiriki kumfungia baba yako nje ya nyumba, like how? kisa amekuadhibu. Na Siah anamuaddress mme wake kama "huyu mwanaume". Mimi kama mwanamke najisikia vibaya kuona mwanaume anafanyiwa mambo ya fedheha kama haya. Sometimes Siah anapelekwa nyumbani na michepuko yake. And she is very proud.
Najaribu kusema nini. Sijaandika hiki kisa, kuwataint wanawake wenye watoto bila wenza. Na pia sijakusudia kuuanika ujinga wa mwanaume. Ninachotaka kukisema ni kwamba, tujitahidi kuyaishi mapenzi ya Mungu hapa duniani. Je kila tunalofanya tunampendeza Mungu? Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana. Similarly kwa mwanaume pia. Ukiwa na mwenza na mkawa na amani, mnaelewana, mnastruggle pamoja katika haya maisha ili kufanikiwa, mthamini sana. Dunia imebadilika, imechafuka. Tunahitaji wenza wema ili atleast tuwe na furaha. Hata dunia inapokuchanganya, ukawa na mwenza anayekusupport vizuri, utake nini tena?
Treasure your partner, kabla hazijaja siku ambazo ungetamani angekuwepo karibu yako. Siku zinapita haraka sana, usisubiri mpaka afukiwe chini na udongo, ukamjengee kaburi kuonyesha unampenda na kumjali. Life is too short, to waste it. Huyu mwanaume/mwanamke unaemdharau leo, kuna siku utatamani ungempenda na kumuheshimu, utakuwa ushachelewa. Ukiwa ndani ya ndoa wanaume na wanawake wa nje ni wazuri sana. Ukitoka ndo unagundua umeshakosea.
Kwa wanawake wenye watoto, hili ni ombi kwako dear. Jitahidi sana kumlea mtoto katika malezi ya akili na si kihisia. Dunia hata ikujudge vipi, lea tu mtoto vizuri. Ukikubali hisia na past pain ifunike your sense of reasoning, utamuharibu mtoto. Watoto wa kiume wanahitaji sana malezi ya kiume, play your cards right. Raise tough men dada zangu. Tusipouanika, tutautwanga mbichi!
Ndio walifunga kanisani mwaka juzi.Je, walifunga ndoa kanisani?
Kuna baraka zake kufunga ndoa madhabahuni pa Mungu! Wengi tunemkana Mungu ndiyo maana mambo yetu mengi hayasogei!
Kama vipi, ampige chini, ya nini kuteseka?
Pole nyingi zimfikie, Mungu ampiganie!
Wanaume, huyu mwenzetu wala hahitaji POLE, ni aliyatafuta mwenyewe.Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana.
Ubarikiwe umeweka ujumbe mzuri sana sana kwa jamii yetu inayotuzunguka. Umetukumbusha wajibu wetu kuliishi Neno la MUNGU na kumheshimu kila mtu haijalishi ni mmeo au mkeo au mtoto , na kuwalea watoto wetu kwa kumjua MUNGU na ili baadae wawe na maisha Yao bora , wakikua. Watu wengi hawajui kuwa maisha ni " fumbo"Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita.
Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba ujauzito hivyo akapata mtoto wa pili. Wote wa kiume. Basi maisha yakasonga, Leki akaona kwanini nisimuoe Siah. Akaoa, maisha yakaendelea. Mtoto huyu wa Leki, alivyokuwa na miaka miwili Siah akaanza kucharuka. Ukiangalia katikati yao mwanamke ana mishe za kueleweka kuliko mwanaume. Na pia body yake inalipa kwa vigezo vya wanaume wengi.
So kutokana na mishe zake (ana biashara actually), anakutana na masponsor kila mara. Anahongwa sana hivyo anadiriki kumletea mume wake jeuri mbele ya jamii. Kuna siku moja, Siah alikuwa amegombana na mume wake, akashika kisu kama anataka kumchoma. Majirani wakaingilia kati wanamkuta Leki anatoka damu mkononi akimnyang'anya Siah kile kisu.
Kinachonihuzinisha, huyu mwanamke ana dare kumwambia mwanaume waziwazi "wewe si wa hadhi yangu, najiuliza ilikuwaje nikaolewa na wewe." Mtoto wake wa kwanza anamwambiaga maneno machafu sana huyu baba, na huyu mtoto ana miaka 9. Na hata afanye kosa gani, ole wake huyu baba amguse. Huyu mwanaume anatia huruma sana. And the fact hana kipato kizuri imemuondolea confidence.
Mtoto unadiriki kumfungia baba yako nje ya nyumba, like how? kisa amekuadhibu. Na Siah anamuaddress mme wake kama "huyu mwanaume". Mimi kama mwanamke najisikia vibaya kuona mwanaume anafanyiwa mambo ya fedheha kama haya. Sometimes Siah anapelekwa nyumbani na michepuko yake. And she is very proud.
Najaribu kusema nini. Sijaandika hiki kisa, kuwataint wanawake wenye watoto bila wenza. Na pia sijakusudia kuuanika ujinga wa mwanaume. Ninachotaka kukisema ni kwamba, tujitahidi kuyaishi mapenzi ya Mungu hapa duniani. Je kila tunalofanya tunampendeza Mungu? Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana. Similarly kwa mwanaume pia. Ukiwa na mwenza na mkawa na amani, mnaelewana, mnastruggle pamoja katika haya maisha ili kufanikiwa, mthamini sana. Dunia imebadilika, imechafuka. Tunahitaji wenza wema ili atleast tuwe na furaha. Hata dunia inapokuchanganya, ukawa na mwenza anayekusupport vizuri, utake nini tena?
Treasure your partner, kabla hazijaja siku ambazo ungetamani angekuwepo karibu yako. Siku zinapita haraka sana, usisubiri mpaka afukiwe chini na udongo, ukamjengee kaburi kuonyesha unampenda na kumjali. Life is too short, to waste it. Huyu mwanaume/mwanamke unaemdharau leo, kuna siku utatamani ungempenda na kumuheshimu, utakuwa ushachelewa. Ukiwa ndani ya ndoa wanaume na wanawake wa nje ni wazuri sana. Ukitoka ndo unagundua umeshakosea.
Kwa wanawake wenye watoto, hili ni ombi kwako dear. Jitahidi sana kumlea mtoto katika malezi ya akili na si kihisia. Dunia hata ikujudge vipi, lea tu mtoto vizuri. Ukikubali hisia na past pain ifunike your sense of reasoning, utamuharibu mtoto. Watoto wa kiume wanahitaji sana malezi ya kiume, play your cards right. Raise tough men dada zangu. Tusipouanika, tutautwanga mbichi!
Hakuna dhambi kubwa kama kumuoa single mother.Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.

Pole sana kwa mwamba,,wanawake kama hao ndo huwa sababu ya single mother kuonekana hawana maana. Ipo siku atajutia atatamani kurudisha wakati nyuma .Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.

Shukrani braza. Pamoja sanaIla Mademoiselle nakuelewaga Sana Kwenye nyuzi na comments zako.
Hakika ubarikiwe Sana kwa ujumbe wako mzuri.