Tusemezane jambo wadau

Mademoiselle

JF-Expert Member
Jul 11, 2022
461
2,126
Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita.

Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba ujauzito hivyo akapata mtoto wa pili. Wote wa kiume. Basi maisha yakasonga, Leki akaona kwanini nisimuoe Siah. Akaoa, maisha yakaendelea. Mtoto huyu wa Leki, alivyokuwa na miaka miwili Siah akaanza kucharuka. Ukiangalia katikati yao mwanamke ana mishe za kueleweka kuliko mwanaume. Na pia body yake inalipa kwa vigezo vya wanaume wengi.

So kutokana na mishe zake (ana biashara actually), anakutana na masponsor kila mara. Anahongwa sana hivyo anadiriki kumletea mume wake jeuri mbele ya jamii. Kuna siku moja, Siah alikuwa amegombana na mume wake, akashika kisu kama anataka kumchoma. Majirani wakaingilia kati wanamkuta Leki anatoka damu mkononi akimnyang'anya Siah kile kisu.

Kinachonihuzinisha, huyu mwanamke ana dare kumwambia mwanaume waziwazi "wewe si wa hadhi yangu, najiuliza ilikuwaje nikaolewa na wewe." Mtoto wake wa kwanza anamwambiaga maneno machafu sana huyu baba, na huyu mtoto ana miaka 9. Na hata afanye kosa gani, ole wake huyu baba amguse. Huyu mwanaume anatia huruma sana. And the fact hana kipato kizuri imemuondolea confidence.

Mtoto unadiriki kumfungia baba yako nje ya nyumba, like how? kisa amekuadhibu. Na Siah anamuaddress mme wake kama "huyu mwanaume". Mimi kama mwanamke najisikia vibaya kuona mwanaume anafanyiwa mambo ya fedheha kama haya. Sometimes Siah anapelekwa nyumbani na michepuko yake. And she is very proud.

Najaribu kusema nini. Sijaandika hiki kisa, kuwataint wanawake wenye watoto bila wenza. Na pia sijakusudia kuuanika ujinga wa mwanaume. Ninachotaka kukisema ni kwamba, tujitahidi kuyaishi mapenzi ya Mungu hapa duniani. Je kila tunalofanya tunampendeza Mungu? Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana. Similarly kwa mwanaume pia. Ukiwa na mwenza na mkawa na amani, mnaelewana, mnastruggle pamoja katika haya maisha ili kufanikiwa, mthamini sana. Dunia imebadilika, imechafuka. Tunahitaji wenza wema ili atleast tuwe na furaha. Hata dunia inapokuchanganya, ukawa na mwenza anayekusupport vizuri, utake nini tena?

Treasure your partner, kabla hazijaja siku ambazo ungetamani angekuwepo karibu yako. Siku zinapita haraka sana, usisubiri mpaka afukiwe chini na udongo, ukamjengee kaburi kuonyesha unampenda na kumjali. Life is too short, to waste it. Huyu mwanaume/mwanamke unaemdharau leo, kuna siku utatamani ungempenda na kumuheshimu, utakuwa ushachelewa. Ukiwa ndani ya ndoa wanaume na wanawake wa nje ni wazuri sana. Ukitoka ndo unagundua umeshakosea.

Kwa wanawake wenye watoto, hili ni ombi kwako dear. Jitahidi sana kumlea mtoto katika malezi ya akili na si kihisia. Dunia hata ikujudge vipi, lea tu mtoto vizuri. Ukikubali hisia na past pain ifunike your sense of reasoning, utamuharibu mtoto. Watoto wa kiume wanahitaji sana malezi ya kiume, play your cards right. Raise tough men dada zangu. Tusipouanika, tutautwanga mbichi!
 
Je, walifunga ndoa kanisani?

Kuna baraka zake kufunga ndoa madhabahuni pa Mungu! Wengi tunemkana Mungu ndiyo maana mambo yetu mengi hayasogei!

Kama vipi, ampige chini, ya nini kuteseka?

Pole nyingi zimfikie, Mungu ampiganie!
 
Ndio walifunga kanisani mwaka juzi.
 
Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana.
Wanaume, huyu mwenzetu wala hahitaji POLE, ni aliyatafuta mwenyewe.

Mwanaume OA single mother at your own Risk. Kuwa tayari kwa lolote litakalokukuta, na uache kutia huruma. Beba maumivu yako mwenyewe, kufa peke yako. maana tunashauri kila siku, ila mnatuona kama tunawaonea wivu.

Mwanaume unaenda kuoa retired bed to bed midfielder, halafu unatarajia ufanikiwe. Pathetic!

Be a Man.
 
Upewe maua yako! Wanawake wameteswa na kunyanyaswa na wanaume kwa miongo na miongo, kipindi hiko wanawake ni dhaifu na wanyonge hadi tumeizoea hiyo hali.

Lakini wakuu, ni habari nyingine kushuhudia mwanaume ananyanyaswa, unaweza kwenda kujifungia ndani ukalia kwa sauti kuu.

Anyways yeyote aliyepitia unyanyasaji wowote ule, atafute kupona ajipende
na ndiposa atawapenda wengine. Huyo dada her past imemfanya amekuwa very cold sana! Ogopa kumnyanyasa mtu unayelala nae nyumba moja, akikuua usiku je? Ogopa kumnyanyasa mtu mwenye access na mswaki wako!

Mapenzi yakiisha na hakuna ushikaji ndani yenu, bora kila mtu achukue hamsini zake.
 
Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita.

Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba ujauzito hivyo akapata mtoto wa pili. Wote wa kiume. Basi maisha yakasonga, Leki akaona kwanini nisimuoe Siah. Akaoa, maisha yakaendelea. Mtoto huyu wa Leki, alivyokuwa na miaka miwili Siah akaanza kucharuka. Ukiangalia katikati yao mwanamke ana mishe za kueleweka kuliko mwanaume. Na pia body yake inalipa kwa vigezo vya wanaume wengi.

So kutokana na mishe zake (ana biashara actually), anakutana na masponsor kila mara. Anahongwa sana hivyo anadiriki kumletea mume wake jeuri mbele ya jamii. Kuna siku moja, Siah alikuwa amegombana na mume wake, akashika kisu kama anataka kumchoma. Majirani wakaingilia kati wanamkuta Leki anatoka damu mkononi akimnyang'anya Siah kile kisu.

Kinachonihuzinisha, huyu mwanamke ana dare kumwambia mwanaume waziwazi "wewe si wa hadhi yangu, najiuliza ilikuwaje nikaolewa na wewe." Mtoto wake wa kwanza anamwambiaga maneno machafu sana huyu baba, na huyu mtoto ana miaka 9. Na hata afanye kosa gani, ole wake huyu baba amguse. Huyu mwanaume anatia huruma sana. And the fact hana kipato kizuri imemuondolea confidence.

Mtoto unadiriki kumfungia baba yako nje ya nyumba, like how? kisa amekuadhibu. Na Siah anamuaddress mme wake kama "huyu mwanaume". Mimi kama mwanamke najisikia vibaya kuona mwanaume anafanyiwa mambo ya fedheha kama haya. Sometimes Siah anapelekwa nyumbani na michepuko yake. And she is very proud.

Najaribu kusema nini. Sijaandika hiki kisa, kuwataint wanawake wenye watoto bila wenza. Na pia sijakusudia kuuanika ujinga wa mwanaume. Ninachotaka kukisema ni kwamba, tujitahidi kuyaishi mapenzi ya Mungu hapa duniani. Je kila tunalofanya tunampendeza Mungu? Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana. Similarly kwa mwanaume pia. Ukiwa na mwenza na mkawa na amani, mnaelewana, mnastruggle pamoja katika haya maisha ili kufanikiwa, mthamini sana. Dunia imebadilika, imechafuka. Tunahitaji wenza wema ili atleast tuwe na furaha. Hata dunia inapokuchanganya, ukawa na mwenza anayekusupport vizuri, utake nini tena?

Treasure your partner, kabla hazijaja siku ambazo ungetamani angekuwepo karibu yako. Siku zinapita haraka sana, usisubiri mpaka afukiwe chini na udongo, ukamjengee kaburi kuonyesha unampenda na kumjali. Life is too short, to waste it. Huyu mwanaume/mwanamke unaemdharau leo, kuna siku utatamani ungempenda na kumuheshimu, utakuwa ushachelewa. Ukiwa ndani ya ndoa wanaume na wanawake wa nje ni wazuri sana. Ukitoka ndo unagundua umeshakosea.

Kwa wanawake wenye watoto, hili ni ombi kwako dear. Jitahidi sana kumlea mtoto katika malezi ya akili na si kihisia. Dunia hata ikujudge vipi, lea tu mtoto vizuri. Ukikubali hisia na past pain ifunike your sense of reasoning, utamuharibu mtoto. Watoto wa kiume wanahitaji sana malezi ya kiume, play your cards right. Raise tough men dada zangu. Tusipouanika, tutautwanga mbichi!
Ubarikiwe umeweka ujumbe mzuri sana sana kwa jamii yetu inayotuzunguka. Umetukumbusha wajibu wetu kuliishi Neno la MUNGU na kumheshimu kila mtu haijalishi ni mmeo au mkeo au mtoto , na kuwalea watoto wetu kwa kumjua MUNGU na ili baadae wawe na maisha Yao bora , wakikua. Watu wengi hawajui kuwa maisha ni " fumbo"
. Mtunze , mheshimu , mthamini mwenzi wako bila kuwa na shaka yoyote mtafanikiwa.
Naunga mkono ujumbe wako Mademoselle.
 
Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita.

Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba ujauzito hivyo akapata mtoto wa pili. Wote wa kiume. Basi maisha yakasonga, Leki akaona kwanini nisimuoe Siah. Akaoa, maisha yakaendelea. Mtoto huyu wa Leki, alivyokuwa na miaka miwili Siah akaanza kucharuka. Ukiangalia katikati yao mwanamke ana mishe za kueleweka kuliko mwanaume. Na pia body yake inalipa kwa vigezo vya wanaume wengi.

So kutokana na mishe zake (ana biashara actually), anakutana na masponsor kila mara. Anahongwa sana hivyo anadiriki kumletea mume wake jeuri mbele ya jamii. Kuna siku moja, Siah alikuwa amegombana na mume wake, akashika kisu kama anataka kumchoma. Majirani wakaingilia kati wanamkuta Leki anatoka damu mkononi akimnyang'anya Siah kile kisu.

Kinachonihuzinisha, huyu mwanamke ana dare kumwambia mwanaume waziwazi "wewe si wa hadhi yangu, najiuliza ilikuwaje nikaolewa na wewe." Mtoto wake wa kwanza anamwambiaga maneno machafu sana huyu baba, na huyu mtoto ana miaka 9. Na hata afanye kosa gani, ole wake huyu baba amguse. Huyu mwanaume anatia huruma sana. And the fact hana kipato kizuri imemuondolea confidence.

Mtoto unadiriki kumfungia baba yako nje ya nyumba, like how? kisa amekuadhibu. Na Siah anamuaddress mme wake kama "huyu mwanaume". Mimi kama mwanamke najisikia vibaya kuona mwanaume anafanyiwa mambo ya fedheha kama haya. Sometimes Siah anapelekwa nyumbani na michepuko yake. And she is very proud.

Najaribu kusema nini. Sijaandika hiki kisa, kuwataint wanawake wenye watoto bila wenza. Na pia sijakusudia kuuanika ujinga wa mwanaume. Ninachotaka kukisema ni kwamba, tujitahidi kuyaishi mapenzi ya Mungu hapa duniani. Je kila tunalofanya tunampendeza Mungu? Mwanamke, unapopata mwanaume wa kukuoa, ni jambo jema sana. Hasa kama ukiwa ulishapata mtoto kipindi cha nyuma. Lakin mwanaume akikubali kulibeba jambo hili na mkasonga na maisha hii ni neema kubwa sana. Similarly kwa mwanaume pia. Ukiwa na mwenza na mkawa na amani, mnaelewana, mnastruggle pamoja katika haya maisha ili kufanikiwa, mthamini sana. Dunia imebadilika, imechafuka. Tunahitaji wenza wema ili atleast tuwe na furaha. Hata dunia inapokuchanganya, ukawa na mwenza anayekusupport vizuri, utake nini tena?

Treasure your partner, kabla hazijaja siku ambazo ungetamani angekuwepo karibu yako. Siku zinapita haraka sana, usisubiri mpaka afukiwe chini na udongo, ukamjengee kaburi kuonyesha unampenda na kumjali. Life is too short, to waste it. Huyu mwanaume/mwanamke unaemdharau leo, kuna siku utatamani ungempenda na kumuheshimu, utakuwa ushachelewa. Ukiwa ndani ya ndoa wanaume na wanawake wa nje ni wazuri sana. Ukitoka ndo unagundua umeshakosea.

Kwa wanawake wenye watoto, hili ni ombi kwako dear. Jitahidi sana kumlea mtoto katika malezi ya akili na si kihisia. Dunia hata ikujudge vipi, lea tu mtoto vizuri. Ukikubali hisia na past pain ifunike your sense of reasoning, utamuharibu mtoto. Watoto wa kiume wanahitaji sana malezi ya kiume, play your cards right. Raise tough men dada zangu. Tusipouanika, tutautwanga mbichi!
Hakuna dhambi kubwa kama kumuoa single mother.
 
Hawa single maza kama unaoa, uoe kwa tahadhari, mimi nilijaribu, nikapigwa tukio moja hiloo.. nilitoa talaka kwenye simu. SITORUDIA
 
Pole sana kwa mwamba,,wanawake kama hao ndo huwa sababu ya single mother kuonekana hawana maana. Ipo siku atajutia atatamani kurudisha wakati nyuma .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom