Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,941
Mkuu nenda kacheki hata kati yao kwani Tyson kama mechi alishinda kwa point maishani mwake hazifiki 10, lets say hazifiki 8, wakati Mayweather karibu nusu ya ushindi wake ni kwa point, japo nakubali uwezo wake lakin kumpiga kibaba Tyson ingekuwa ni kazi kama vile chadema kufanya UKUTA kwa sasa
ukuta..Ah ah ah...ukuta km mkate kwnye chai








