Tuseme ukweli, suala la machinga Amosi Makala limekushinda

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,453
2,849
Hii ndio hali halisi ya mtaa wa Lindi Kariakoo. Hili suala linajirudia taratibu na imeshaanza kuwa kero tena

IMG_20211224_072916_259.jpg
 
Sawa wanatafuta riziki, lakini sio kwa kuchafua na kuvuruga miundo mbinu ya mji kwa kupanga nguo barabarani, waendee huko walikopangiwa....
PS: Bonge la Guu ndani jeans......
 
Serikali ya CCM na Samia wake ndio imeshindwa suala la machinga. Inamtelekeza Makala akishindwa isilaumiwe na akifanikisha ipate sifa kwa usafi na mpangilio mzuri wa mji, pia ikwepe lawama ya kuwakosesha ajira asingiziwe yeye
 
Wasisumbuke na machinga, wao wakabe wanunuzi kama huna risiti imekula kwako.
Automatically watu wataachana na kununua barabarani
 
Amos Makala anajitahidi kufanya kazi Nzuri Dar es salaam.

Ajikite kutatua migogoro ya ardhi kule Mbopo watu wapate haki zao bila kuchelewa.

Watu wanaimani na wewe chukua hatua @ Makala haraka.
 
Back
Top Bottom