Tuseme tu UKAWA wakashinda Urais ina maana...

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Labda ikatokea miujiza na ukawa wakashinda uraisi na kukabidhiwa nchi, ina maana sasa hatima yetu sisi kama nchi itakuwa chini ya Mbowe? Kwa maana hatima ya ukawa iko chini yake yeye na baba Mkwe wake Mtei by the way wamefanana sana lkn hiyo ni mada nyingine! Kama ndiyo sipati picha yaani Mbowe yule nimjuaye tangu enzi za Bills aliyekuwa anabana nywele za kuchoma nyuma ndiyo awe anashikilia maisha ya Watz milioni 45, Duh! Kazi ipo!
 
Mtoa mada ukiona umelewa usiingie jf maana unatoa takataka tupu.
 
Poleni sana CCM.

Ni lazima ccm iondoshwe madarakani kwamaana hakuna namna nyingine tena.

Una uhakika na unachokisema lakini? Ni lini Chama Dola chenye nguvu kama CCM kiliwahi kushindwa Uchaguzi? Hizo kura ni nani hata anahesabu na kutangaza ni Mbowe na Mtei? Mahakama iko chini Mbowe? Wkuu wa Mikoa, Wilaya mpaka vijijiji wanaripoti kwa Mbowe na baba Mkwe wake?
Amiri Jeshi Mkuu wa JWTZ ni nani? Ni Mbowe? Mkuu wa vyombo vyote vya usalama mpka TCRA ambayo ni msimamizi wa mpaka JF ni nani ni Mtei? na mwisho kwa kukumbusha nina mnukuu Josef Stalin

,,The people who cast the vote decide Nothing, The people who count the votes decides Everything"
 
Huyu jamaa na vi nyuzi zake za kijinga jinga,jana ukapost uharo leo tena uharo.kuwa basi!
 
Hata kama nchi itashikwa na mmasai atawajibika kwa watanzania, watanzania si wajinga kukomaa kwenye luninga wakiangalia kila kinachoendelea, Someni jamani mulewe uraia, Kama huelewi kwamba tunachagua wabunge wakahoji matendo yao serikali, unaweweseka nini..Soma Raia mwema la Leo makala ya Mpendazoe itakwambia na kukuonyesha jinzi watu wengine mlivyo bender fwata upepo
 
Labda ikatokea miujiza na ukawa wakashinda uraisi na kukabidhiwa nchi, ina maana sasa hatima yetu sisi kama nchi itakuwa chini ya Mbowe? Kwa maana hatima ya ukawa iko chini yake yeye na baba Mkwe wake Mtei by the way wamefanana sana lkn hiyo ni mada nyingine! Kama ndiyo sipati picha yaani Mbowe yule nimjuaye tangu enzi za Bills aliyekuwa anabana nywele za kuchoma nyuma ndiyo awe anashikilia maisha ya Watz milioni 45, Duh! Kazi ipo!
Naona tokea ile nyomi ya Jmatatu masaburi yanawasha kama vipi njoo tuyazibue
 
Hakuna mtu anayependa disko kama mkuu wa kaya

Alikili mwenywe juzi alivyokua na wasanii wenzeke kwa hakuna kitu anakizimia kama disco...!!!! Sasa huyu atawaza lini kuhusu uchumi wa nchi..?
 
Kama urais wa mafisadi hapo watashinda ila siyo huu wa jamhuri ya muungano wa Tanzani.
 
Alikili mwenywe juzi alivyokua na wasanii wenzeke kwa hakuna kitu anakizimia kama disco...!!!! Sasa huyu atawaza lini kuhusu uchumi wa nchi..?
Kwahiyo sisi wasanii wa muziki unatuona taka mwehu kweli wewe.
 
Labda ikatokea miujiza na ukawa wakashinda uraisi na kukabidhiwa nchi, ina maana sasa hatima yetu sisi kama nchi itakuwa chini ya Mbowe? Kwa maana hatima ya ukawa iko chini yake yeye na baba Mkwe wake Mtei by the way wamefanana sana lkn hiyo ni mada nyingine! Kama ndiyo sipati picha yaani Mbowe yule nimjuaye tangu enzi za Bills aliyekuwa anabana nywele za kuchoma nyuma ndiyo awe anashikilia maisha ya Watz milioni 45, Duh! Kazi ipo!

Kwakifupi ccm tumewachoka,leo hii ukawa hata wasimamishe jiwe tuko tayari kulipigia kura.
 
Back
Top Bottom