Una uhakika na unachokisema lakini? Ni lini Chama Dola chenye nguvu kama CCM kiliwahi kushindwa Uchaguzi? Hizo kura ni nani hata anahesabu na kutangaza ni Mbowe na Mtei? Mahakama iko chini Mbowe? Wkuu wa Mikoa, Wilaya mpaka vijijiji wanaripoti kwa Mbowe na baba Mkwe wake?
Amiri Jeshi Mkuu wa JWTZ ni nani? Ni Mbowe? Mkuu wa vyombo vyote vya usalama mpka TCRA ambayo ni msimamizi wa mpaka JF ni nani ni Mtei? na mwisho kwa kukumbusha nina mnukuu Josef Stalin
,,The people who cast the vote decide Nothing, The people who count the votes decides Everything"