Tuseme kwenye Makinikia Magufuli kawa Makini Cameroon je, Taifa stars imemakinika?

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
Matokeo ya kamati ya pili tayari!
Kuna kila dalili kuwa ni utumbo kama ule utumbo wa mwanzo.

Anyway....
CCM tumeshaizoea, wakwanza kutuibia, wakwanza kupiga kelele za mwizi, wakwanza kuuzia mtu kesi.
Ujanja wa kizamani vileee!

Tanzania underachievers kweli?
Group L: Group seeds Cape Verde might have been encouraged when the groups were drawn and they were pitted against Uganda -- on paper, the second weakest of the second seeds.
However, the Cranes' reputation has been bolstered after impressing in patches at the Afcon, and the nous of Milutin Sredojevic could see them edge past the islanders.
Underachievers Tanzania were eased out of the way by Nigeria and Egypt during qualification for the 2015 Nations Cup, while tiny Lesotho may have beaten Seychelles in March 2016, but won't cause an upset here.

Ndio tufanyeje sasa, Ndio kina Bashite wanaandaa siasa za j3 kuua budget ya upinzani!
Ndio hiena hiena tena, ndio ushindi huo!

Ila wenye akili mjue!
Matokeo ya tume ya pili yameanzia pale tume ya kwanza ilipoishia.
Hayajibu doubts zozote za mwanzo.

Ok, tuseme CCM makinikia tumeibiwa, je timu ya taifa nayo tumeibiwa?
 
Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,203
2,000
Mtokeo ya kamati ya pili tayari!
Kuna kila dalili kuwa ni utumbo kama ule utumbo wa mwanzo.

Anyway....
CCM tumeshaizoea, wakwanza kutuibia, wakwanza kuoiga kelele za mwizi, wakwanza kuuzia mtu kesi.
Ujanja wa kizamani vileee!

Tanzania underachievers kweli?
Group L: Group seeds Cape Verde might have been encouraged when the groups were drawn and they were pitted against Uganda -- on paper, the second weakest of the second seeds.
However, the Cranes' reputation has been bolstered after impressing in patches at the Afcon, and the nous of Milutin Sredojevic could see them edge past the islanders.
Underachievers Tanzania were eased out of the way by Nigeria and Egypt during qualification for the 2015 Nations Cup, while tiny Lesotho may have beaten Seychelles in March 2016, but won't cause an upset here.

Ndio tufanyeje sasa, Ndio kina Bashite wanaandaa siasa za j3 kuua budget ya upinzani!
Ndio hiena hiena tena, ndio ushindi huo!

Ila wenye akili mjue!
Matokeo ya tume ya pili yameanzia pale tume ya kwanza ilipoishia.
Hayajibu doubts zozote za mwanzo.

Ok, tuseme CCM makinikia tumeibiwa, je timu ya taifa nayo tumeibiwa?
Akili yako ina uvimbe, Vinginevyo huenda mimba ya mama yako ilipatikana chooni kutokana na michepuko.
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
3,751
2,000
Hivi mtu anakuwa amekula nn hadi kupata ujasiri wa kipekee kuwaamini lile genge la chadema??
Yaani kabisa mtu na akili zake timamu unawaamini mbowe, lowasa, sumaye?? Kwann mnaidharau sana hii nchi lakini?!
 
Thubo

JF-Expert Member
May 23, 2017
207
250
noma sana,...kuna kila dalili ripoti ya pili ikawa sio ya level yako,tena haikuhusu kabisa so don't waste your time predicting yaliyomo manake unataka niamini ni utumbo wakati hujaniletea nyama,.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
noma sana,...kuna kila dalili ripoti ya pili ikawa sio ya level yako,tena haikuhusu kabisa so don't waste your time predicting yaliyomo manake unataka niamini ni utumbo wakati hujaniletea nyama,.
Kama hiyo report sio level yangu, hakika, asilimia 90 ya CCM hawataielewa mpaka au Mungu au Silencer anawachukua!
 
Thubo

JF-Expert Member
May 23, 2017
207
250
Kama hiyo report sio level yangu, hakika, asilimia 90 ya CCM hawataielewa mpaka au Mungu au Silencer anawachukua!
mmmh,kumbe na mimi kueleweka ni shida!! nimeamin huna tofauti na CCM,,hujanielewa hata kidogo,ebu soma tena,,mi nakuzuia usijihusishe na utumbo husikii!!!
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
Hivi mtu anakuwa amekula nn hadi kupata ujasiri wa kipekee kuwaamini lile genge la chadema??
Yaani kabisa mtu na akili zake timamu unawaamini mbowe, lowasa, sumaye?? Kwann mnaidharau sana hii nchi lakini?!
Kwanini CCM ilimpa Lowasa na Sumaye uwaziri mkuu?
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,881
2,000
Mjinga flani anaiita ile ripoti ni utumbo?

Hapohapo bibi, babu, wazazi na ndugu zake wengine wanalala kwenye nyumba za nyasi kule kijijini!
 
kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,779
2,000
Matokeo ya kamati ya pili tayari!
Kuna kila dalili kuwa ni utumbo kama ule utumbo wa mwanzo.

Anyway....
CCM tumeshaizoea, wakwanza kutuibia, wakwanza kupiga kelele za mwizi, wakwanza kuuzia mtu kesi.
Ujanja wa kizamani vileee!

Tanzania underachievers kweli?
Group L: Group seeds Cape Verde might have been encouraged when the groups were drawn and they were pitted against Uganda -- on paper, the second weakest of the second seeds.
However, the Cranes' reputation has been bolstered after impressing in patches at the Afcon, and the nous of Milutin Sredojevic could see them edge past the islanders.
Underachievers Tanzania were eased out of the way by Nigeria and Egypt during qualification for the 2015 Nations Cup, while tiny Lesotho may have beaten Seychelles in March 2016, but won't cause an upset here.

Ndio tufanyeje sasa, Ndio kina Bashite wanaandaa siasa za j3 kuua budget ya upinzani!
Ndio hiena hiena tena, ndio ushindi huo!

Ila wenye akili mjue!
Matokeo ya tume ya pili yameanzia pale tume ya kwanza ilipoishia.
Hayajibu doubts zozote za mwanzo.

Ok, tuseme CCM makinikia tumeibiwa, je timu ya taifa nayo tumeibiwa?
Hivi wewe jamaa huwa una mawazo gani unapoandika? Inaonyesha una psychological problems si bure
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
Mjinga flani anaiita ile ripoti ni utumbo?

Hapohapo bibi, babu, wazazi na ndugu zake wengine wanalala kwenye nyumba za nyasi kule kijijini!
Yeyote anayelala kwenye nyumba ya nyasi tofauti na mtalii ailaumu CCM.
CCM ndio tatizo letu sisi Watanzania.
 
kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,779
2,000
Naichukia sana CCM boss, kama hilo ni tatizo la kisaikolojia basi utakuwa umepatia.
Hapo sawa maana unaonekana unapoint ila ukianza kuzungumzia masuala ya makinikia unapotea na unaonyesha sentiment za hatari. Ni kosa kuingiza siasa katika suala hili. Mimi huwa namdharau mtu anayehusisha masuala ya kitaifa na ccm au chadema. Unajilimit unapoingiza ufisadi na vyama maana ukichambua viongozi wote ni wababaishaji tu. tujitahidi kujenga hoja bila kuingiza vyama
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
Hapo sawa maana unaonekana unapoint ila ukianza kuzungumzia masuala ya makinikia unapotea na unaonyesha sentiment za hatari. Ni kosa kuingiza siasa katika suala hili. Mimi huwa namdharau mtu anayehusisha masuala ya kitaifa na ccm au chadema. Unajilimit unapoingiza ufisadi na vyama maana ukichambua viongozi wote ni wababaishaji tu. tujitahidi kujenga hoja bila kuingiza vyama
Kiongozi sioni namna tunaweza kujadili suala lolote la kitaifa bila CCM kuhusika!
Kwamfano haya makinikia, unaitoaje CCM.
 
Mtani mtata

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
476
500
Inatakiwa ifike kipindi vijana tubadilike na kuyapa mambo ya msingi kipaumbele .... au mwenzetu unalipwa unapokuwa unaongelea siasa tu wakati wote!!!? hapa inatetewa pesa ambayo itaiwezesha hiyo budget yenu kivuli angalau iweze kufanya kazi ..... anyway ht hvo hujalazimishwa kuisikiliza ripoti ya pili .... unaweza ukaendelea kusikiliza hotuba ya bajeti yenu kivuli.
 
Nyie ndio mlioanza kuingiza siasa kwenye kila kitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom