galagaja mtoto
Member
- May 24, 2012
- 84
- 33
sio kweli kama ni kweli ni % 10 na epuka maneno ya watu wanapenda sana kukatisha tamaa..wewe apply kazi yoyote unayoiona na pia andika cv ako vizuri tafuta hata washauri waione cv yako
ndugu yangu we ni guest person kwenye mambo haya hhebu rejea vacancy za udom mwaka jana, alichokiuliza kina ukweli % nyingi zaidi ya unavyofikiria acha kutetea vitu usivyovijua, au mwenzetu ni member ktk chama cha waajiri?