Sio forex Wala ponzi schemes lakiniSeriously?? Nakuja Mkuu huku kubaya 😅
Machawa wote mnajulikana humu, mmetofautiana rank tu.We jamaa umenifananisha na Lukasi mi sio chawa
Nilichokua najua ni kwamba hawa watu wanaofanya kwenye haya makampuni yanayouza internet wanaweza kufanyia bypassing kwenye data charges lakini hii ya free internet via VPN nilikuwa sijui(uongo mbaya)Mbona unaonekana ni mbobezi Mkuu au unatuchora? Mtu wa tech haujui kuhusu hii kitu kweli??
Siku hizi hamna tafuta hela tu mkuuWakuu habari zenu
Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
Naona upo mbali sana na ulimwengu wa tech. Hii kitu inawezekana hata mm mwanzoni nilikuwa na fikiri kama wewe. Walee wazee wa UDP tigo kina Droid VPN na Stark VPN, Ha tunnel n.k Airtel. Nimetumia sana na kuna ile ya voda. Mzee ni mserereko tu kama una bando. Unawezesha kwenye simu, una change proxy kwenye PC ni mserereko kama una bando.Kaka siku hizi VPN zinatumika kupata free internet au nimewaza sana?
Sio kwamba VPN inatumika kuongeza layer tu katika mfumo mzima wa kutuma na kupokea taarifa?I mean inatumika kuficha IP address au zipo ambazo unaweza kuzitumia kupata free internet?