Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

Kaka siku hizi VPN zinatumika kupata free internet au nimewaza sana?

Sio kwamba VPN inatumika kuongeza layer tu katika mfumo mzima wa kutuma na kupokea taarifa?I mean inatumika kuficha IP address au zipo ambazo unaweza kuzitumia kupata free internet?
 
Zipo za kupata free Internet Mkuu
 
Dah nilikuwa sijui inabidi nikafatilie zaidi.Maana nachojua hili ku- activate VPN unahitaji internet.Na mwenye kutoa internet ni hawa internet service providers ambao sio wamiliki wa hizi VPN.

Ndio maana nilibaki na maswali kichwani mwangu
Wahuni wanafanya tunnelling za free ports kwenye mitandao. VPN inakufunika usigundulike tu.

Sema ni mateso, utatumia ya halotel kesho itafutwa, utahamia ttcl nayo itafutwa nk nk.
 
Ni apps kabisa za VPN ukiiwasha pamoja na data unateleza bila maipo.
Dah nilikuwa sijui ndugu.Sema tech ina mambo mengi japo hili kwangu limekuwa geni kidogo itabidi nifuatilie au unaweza kunijuza hizo app kama zitakuwa bado active.

VPN nimezoea kuona ikitumika kuhide IP address na kufanya data encryption ndio maana nilabaki kujiuliza sana kama hiki kitu kinawezekana
 
Nimezitumia sana kipindi najitafuta, kuna vpn simu ilikuwa inaisha chaji haraka na kupata joto

Ila kwa sikuhizi kama upo sehemu kuna fibre ni bora uvute, elf 55 kwa mwezi bila kikomo, mnaweza kujipanga watu wawili elf 27 kila mwezi,
 
Nilipo haifiki ni ndani ndani sana fibre ya halotel imepita barabarani tu
 
Dah nilikuwa sijui ndugu.Sema tech ina mambo mengi japo hili kwangu limekuwa geni kidogo itabidi nifuatilie au unaweza kunijuza hizo app kama zitakuwa bado active.

VPN nimezoea kuona ikitumika kuhide IP address na kufanya data encryption ndio maana nilabaki kujiuliza sana kama hiki kitu kikinawezekana
Mbona unaonekana ni mbobezi Mkuu au unatuchora? Mtu wa tech haujui kuhusu hii kitu kweli??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom