Tusaidiane ushauri juu ya mahusiano haya

Tusaidiane ushauri juu ya mahusiano haya

27 au 28 hivi
....Wadada wengi katika umri huo wapo so desperate, yaani mpaka inasikitisha...
....Na kwa umri huo wakipigana chini, itabidi asubiri tena miaka miwili ndo labda ataweza kutangaza ndoa...
sad..
 
Kauli za huyu mwanamke si nzuri, zinaweza kumkwaza mwanaume yeyote. Na nadhani yy ndie chanzo cha tatizo. Hii kauli kwenye topic inanifanya niwaze kauli anazotumia kumwambia jamaa kuhusu kikwapa, mgegedo after safari, ubishi n.k. Lazma zitakua pasua kichwa zaidi ya hii
 
amu mwambia jamaa ajirekebishe naamini si kosa, ila naimani kauli zinatomika na huyu dada si sahihi, zinamfanya mwanaume asione kama ni ushauri wa marekebisho bali aone ni dharau. Binti anahitaji marekebisho zaidi ya jamaa, ajirekebishe kwanza, kama kweli anayataka mahusiano
 
Last edited by a moderator:
"Kama natural smell ya mpenzi wako haikuturn on washana naye." - mkenya mmoja
 
kama hawaelewani kipindi cha uchumba wasitegemee watakuja kuelewana kwenye ndoa. bidada atafute atakaewezana nae maana inaelekea kuna mengi hayapendi kutoka kwa huyo mme mtarajiwa wake.
 
Huyo mwanaume ni pasua kichwa nahisi hawaendani yani interest zao tofauti hili nalo ni tatizo katika mahusiano! Siamini kama mtu mmemisiana then muda mfupi mgombane,kuna tatizo hapo, bidada aache kulialia atapata wa kuendana naye!

Wanawake banaaa....stori imebalansiwa vizuri kabisa lakini tayari shutma zote apewe mwanaume.
 
amu huyo rafiki yako ni mnafiki na wala usihangaike naye maana mwisho wa siku kwa ushauri wowote atakuona wewe ndiye mbaya.

Kwa kifupi hao wawili hawana future.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake banaaa....stori imebalansiwa vizuri kabisa lakini tayari shutma zote apewe mwanaume.

tumefanyaje shem? story haijabalansiwa bana, mie nimeona upande wa mwanamke ni mdomo mchafu tu akitoa neno moja siku inaharibika ila kwa mwanaume tumeona mapungufu mengi. hakuna mkamilifu ila kama mapungufu yote hayo bidada anashindwa kuyavumilia basi na achape lapa.
 
sihitaji kushauri lolote katika hili maana kuisemea mioyo ya watu ni kazi ngumu sana. Mungu aseme nao kwa wakati wake
 
mapenzi bana ni temporaly madness,yaani unajifanya huoni kabisa, unajikuta unavumilia mambo ya ajabu tu, hadi baadae ukiwa kwenye akili zako timamu unajishangaaa,
ili yawe mapenzi basi yafaa yawe permanent madness
 
Mimi bwana naona waachane tu haiwezekani uwe na mpenzi kika mkionana mgombane no enjoyment ila kumwambia bi dada ndo ngumu jamani japo namuonea huruma anavyohangaika kumrudisha mpenzi wake.
Na nyie wanaume mjifunze jamani vikwapa vinaturn off yaani mzuka wote unaisha na mapenzi siku zote kama unaweza kufanya kitu fulani.si lazima na mwenza wako.akifanye au umlazimishe akifanye hapo lazima mkosee.
Afu natamani kumuuliza shost uwezo wa bwana shem kitandani ila nashindwa maana nahisi atakuwa zero angekuwa anaperform vizuri bibie angekuwa mpole 😛 😛 dawa ya majeuri kama bi dada mgegedo wa haja.
Aitheee
 
Back
Top Bottom