amuuuuuuuuuuuuu..........hapa sidhani kama utapata msaada sana. Hiyo ngoma waachie wenyewe tu. We mpe kampani tu, mambo ya kumrudisha au kuachana hayakuhusu. Kaa mbali kabisa.
amu, kwa jinsi ulivyoelezea hiki kisa, kwa kweli nilikuwa sometimes nahisi kama nawaona vile hawa wapenzi!Maelezo ya bidada kuwa anampenda sana sababu zinazomkwaza ni hizo na anamweleza ajirekebishe mwanaume mbishi harekebishiki na hataki waachane mwanaume he seems to be serious japo anakeep on replying her msgs and receiving calls but he insist to end up relationship wawe to marafiki.
amu, kwa jinsi ulivyoelezea hiki kisa, kwa kweli nilikuwa sometimes nahisi kama nawaona vile hawa wapenzi!
mi naona wote wawili wana walakini, mwanamke kaumbwa awe mshauri, sasa kwanini hataki kutumia fursa hiyo kumwaga mipointi ya maana na kumteka jamaa na kumbadilisha kabisa?
kauli zake mbovu nazo ni janga, biblia inasema, mwanamke anatakiwa awe mnyenyekevu, sasa yeye huu ubabe anamuiga undertaker au john cena? mwambie abadilike kuanzia leo.. mwanaume akikosea, huwa inapigwa kimya, lakini mwanamke akikosea, sharti awe radhi kuomba radhi!
hii couple bana, ina movie kali sana!! scene zake naona hazina director mzuri!
wape pole zangu..
Kwenye mapenzi kuna kutoelewana hilo ni jambo la kawaida lakini kunatakiwa kuwe na happy moments zaidi...Hapo nionavyo mimi hao watu hawatokuja kuelewana....kwasababu tayari huyo mwanamke keshamdharau huyo mwanaume katu hatokuja kumpa heshima anayostahiki kupewa....kila mmoja wao anajiona yupo juu zaidi ya mwenzie.Na kawaida mwanaume akiona mwanamke anampanda kichwani ndo anakuwa kiburi zaidi kwahio sijui,things will never work there.....!!
Love is more than just making love or travelling 1000miles to meet someone,its abt understanding your partners need,patience,happiness,CHEMISTRY n.k
'''wewe ndo kichwa cha familia,hata hili ni la kuuliza?''
hii kauli ukimwambia mwanaume lazima aone unamdharau
na hizo spray na deodorant angemfundisha kuzipaka
ampe muda..atulie kwanza..
Aaaaaa jamani yote mnayosema na mie musimamo wangu huo huo dada asonge mbele ila bi dada haamini kwa hilo ye anaona sijui mda umeenda mpaka ampate mwingine waanze upya tena.
Si unajua sie wadada tena
Aaaaaa jamani yote mnayosema na mie musimamo wangu huo huo dada asonge mbele ila bi dada haamini kwa hilo ye anaona sijui mda umeenda mpaka ampate mwingine waanze upya tena.
Si unajua sie wadada tena
ni kweli kabisa ukipata robo tatu ya yale unayowish jichukulie kama mtu mwenye bahati duniani...ni vigumu sana kupata mwenza sahihi mwenye sifa zote unazohitaji na bado mdumishe mapenzi,mvumiliane,muaminiane,muheshimiane n.kwell said lkn katika masomo ya ndoa hasa wakristo tunafundishwa KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA kamwe huwezi pata mme/mmke anayetimiza vigezo unavyoviitaji kwa 100% mambo mengine ni kuvumiliana ili maisha yaendelee.