ndo maana na mie nimemuuliza..maana ndo gpa za pale
nani kakudanganya
Kwa kupata nafasi za "Tutorial, assistant, lecturer" itakuwa ngumu kiasi chake. Pia kupata kazi zinazotangazwa na crdb bank panahitaji uwe atleast gpa ya 3.5 (upper second class) kwa undergraduate degree.
kazi utapata tu, sio lazima upate kati ya hizo nilizokutajia. Komaa kutafuta zngne, nilizokutajia hapo juu usije uka apply km utakuwa na pesa ya mawazo (limited financial budget) maana utaumia alafu itakuongezea usongo wa mawazo na utakuja kusema kupata ajira ni kazi ngumu sana.

Mkuu
mimi nina 3.5 ninataka niapply tutorial assistant.....na ktk vigezo nimekidhi vyote isipokuwa wao wameandika at least 3.8 GPA.
Je ni apply tu?
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia borahuu utoto wa kulingishia GPA alafu kichwani 0 sijui utaisha lini
mkuu hata uwe na 2.0 alafu kichwani uko poa kazi unapata
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora

Jamaa yangu alikuwa na GPA 2.5 kwenye intavyuu ya Utumishi alipata kazi na akawaaacha wenye GPA za 4.8, kikubwa ni kuwa na uwezo hasa katika professional yako na kujiamini, GPA kali si kigezo cha kupata kazi siku hizi.utumishi sio wanaguzi ukiwa na gpa ya 4.5 na mwenye gpa ya 2.7 wote mnaitwa atakayefaulu interview ndio atakayeajiliwa
Ulichoandika si kweli, kama wewe umesoma vyuo vya hapa Bongo utalikili hili. Tuliza tu mawazo yako.Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora
ndo maana na mie nimemuuliza..maana ndo gpa za pale
Ulichoandika si kweli, kama wewe umesoma vyuo vya hapa Bongo utalikili hili. Tuliza tu mawazo yako.
Kwahiyo pale hakuna wanaopata upper second hadi first? Au kichwa cha mtu
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora
Udsm mbona.hiyo tamu