Tusaidiane kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane kwa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ruttashobolwa, Mar 30, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa hili naomba wanao jua sheria wa tusaidie. Kwa mfano by law iliyo anzishwa na chuo cha cbe kama inapingana na katiba ya nchi au haki za binadamu! Au pengine ni sawa kulingana na haki. Me mwenyewe nimeipenda sana hiyo by law! Naomba tusaidiane wana sheria kuna ubishi huku,kuwa uongozi wa cbe unawezwa kubuluzwa mahakamani kwa hili.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Wengine hatujui unaongelea nini.Kuna nini BCE?
   
 3. B

  Bandio Senior Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana lakini nadhani wanasheria watahitaji kujua facts ili waone kama kutakuwa na grounds za kufanya hivyo.
   
 4. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuhusu kuvaa nguo fupi na za wazi kwa akina dada. Kwa kifupi mimi sio mwanasheria ila naijua katiba ya nchi na haki za binadamu uongozi wa CBE umeenda isivyo.

  Labda nikupe mfano mmoja wa Tanzania ya Jakaya, Kibaha walipitisha azimio la kuwawekea label watoto wa shule wote wenye HIV/AIDS ili waweze kujulikana, ukiiangalia hii ni unyanyapaa na kuwaweka watoto walioathirika katika mazingira magumu sana.

  Lakini kitu hiki kinaendelea kule hakuna wa ku point finger. My point ni kwamba mambo haya yanapoendelea kufanyika viongozi wako busy kujichukulia rasilimali za taifa they cannot see or understand.

  Hivyo kwa serikali hii ambayo viongozi na watoto wao wako busy na kujenga mahotel kila nchi na kila mkoa hawawezi kuona haya. Ukitaka kuona sheria za nchi anza kujenga hotel yako mahali wanapotalka wao ndo utaziona sheria za nchi hii. Shame on them !!!
   
Loading...