Tusaidiane kupanga kikosi cha simba msimu ujao.

Kila mwaka nyie watu wa maneno, mpira unachezwa na wengine.. Hahahaaah
 
Okwi ni biashara ya watu tu.. Na wananchama wa Simba wazee wa ndioooooo.. Viongozi wanajua kuwachezea akili...
Hawahoji ubora wa Okwi kwa sasa, wao wakiambiwa Okwi aliifunga Yanga, basi wao ndioooooo! Mbumbumbu FC ni tatizo
 
Kwakweli simba inapendwa! Tayari yanga wameona kina Okwi, Niyonzima na Bocco hawana hadhi na viwango vya kucheza simba.
 
Kwa kikosi hiki.. TFF na CAF, tupatieni makombe yetu mapema.
Mkuu tena wambien hao tff watukabidhi Kombe mapema kabisa...maana kwa kikosi chetu...kuna dalili tutawadhalilisha vyura fc kwa magoli mengi sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom