Tusaidiane kuitafuta hii dawa

jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona
kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema,
wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti
na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji
mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana
nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.
Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee!
Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la
huo mmea hata uje na bilioni.
 
Acha hizo wewe kijana kajitoa kusaidia watu huyu usimtie majaribuni.
Pesa nyumba na mali vyote tutaviacha hapa hapa Duniani!
Muache atimize wajibu wake wa kutenda mema.

Mkuu huyu kijana kumbe mwizi tu, tumemtumia pesa lakini mpaka leo hatujaon a hiyo dawa na namba ya simu aliyoitoa haipatikani
 
Kama umeamua kusaidia kwann utaki kutaja jina lake ili watu wakaitafte maeneo yao , mpka hapo we ni tapeli hautofautiani Na BABU
 
jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona
kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema,
wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti
na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji
mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana
nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.
Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee!
Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la
huo mmea hata uje na bilioni.

mkuu tuta jie jina tu inatosha!
 
hapa sasa ndiyo unajimaliza mwenyewe wewe ni tapeli kama matapeli wengine
jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona
kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema,
wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti
na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji
mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana
nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.
Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee!
Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la
huo mmea hata uje na bilioni.
 
sijawahi na sitakaa nishawishike kirahisi hivi. Au mkuu upo kwenye utafiti kujua idadi ya team vibamia humu ndani
 
Mkuu huyu kijana kumbe mwizi tu, tumemtumia pesa lakini mpaka leo hatujaon a hiyo dawa na namba ya simu aliyoitoa haipatikani

Duu ndo leo nimerudi kwenye huu uzi kumbe yalifika huku tenaa!!!
Msihofu pengine jamaa kaenda site kuchimba hiyo mizizi na yawezekana hakuna network huko aliko.
Subira yavuta heri wajomba. .....
 
Back
Top Bottom