Tusaidiane Kuhusu Kisonono Sugu

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Thread Ended
 

Attachments

  • upload_2017-9-16_19-58-31.jpeg
    upload_2017-9-16_19-58-31.jpeg
    3.4 KB · Views: 276
Pole mkuu siku nyingine uache ngono zembe

Nenda kwa madaktari bingwa wakusaidie
 
Chukua mizizi ya mpapai .chemsha namaji ,,ijae Lita tano,, kunywa asub mchana jion kimoja kimoja........hamna kisoso sugu wala nn.
 
Ni Kama Mwaka na miezi miwili Imepita Tangu nimekutana na Hili Janga,

Alikuwa binti mdogo kwa wakati Huo nafikiri miaka kama 16/17, nikaongea nae Fresh akanielewa....siku ya siku akanipa Penzi Japo sikuwa on mood nikapiga kimoja cha kivivu kama dakika 3 ila hazizidi 5.

Siku moja/Mbili baadaye nilishikwa na Mafua mazito sana ambayo mpaka sasa hayajawahi kunishika tena, kichwa/kipanda uso kikawa kinauma balaa, Homa kali Hatari....vyote hivi vilidumu kwa siku tatu!

Baada ya hapo nikaanza kupata shida kwenye mkojo yaani unachoma na unauma wakati nakojoa nikaanza kuhisi huenda ni kisonono (Japo hakuna dalili za usaha wala kuuma kiuno), basi nikaenda Hospitali nikapima kweli nikakutwa nayo....mara moja nikaanza kutumiaa dozi...kiukweli sikuponaa nikahamia mitishamba angalau nikapata nafuu!

Basi baada ya hapo nikaanza kuumwa viungo yaani kama vinawaka moto afu then vinatulia (Karibia viungo vyote vya mwili)

Hii Hali nipo nayo mpaka sasa japo sikushtuka mwanzoni kama huenda ile kisonono haikuponaa na katika kufatilia nikakuta Hii kitu inaeza kufikia hatua inaitwaa Gonococcal Endocarditis yaani kwenda ku affect thin wall ya moyo...ambayo dalili yake kuu ni kama mistari kama hii kwenye kucha za vidole (splinter haemorrhage)
View attachment 589703
images
images


Japo hivo vilinitokeaa wiki kama 4 baada ya infection ila sikuhisi....sasa wakuu tusaidiane tafadhali napataje tiba ya kisonono ambaho kishakuwa sugu? na hiyo ya Endorcarditis maana kweli viungo vyangu (JOints) Mpaka leo zinauma na kitu nimepata mwaka mzima uliopita!

Je nirudi hospitali au niendelee na Mitishambaa!

Ahsanteni sana ni mimi

Jefferson Lymo
Duu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom