Tusaidiane Kuhusu 'Device is Write Protected'

Tusaidiane Kuhusu 'Device is Write Protected'

Ndugu itendendee haki hiyo keyboard yako,mbona imebadilika rangi kwa vumbi jekundu.
Kazi zangu nafanyia kituo cha mabasi yaani nipo barabarani kabisa ndiyo maana vumbi lipo.
 
How To Repair A Corrupted SD Card or USB Flash Dri.mp4 (23.53MB) - SendSpace.com

Download video, hiyo hapo link. Hakika itakusaidia. Ila, elewa kwamba kama drive yako ilikuwa na data,zitafutika, labda badae jaribu recovery

Nikitumia njia ya command prompt inakua hivi

jf.JPG
 
Leme help you!! Tafuta CD ya windows inayoboot, chomeka flash yako na ujue herufi yake, zima komputa, Fanya kama unapiga windows, ukifika sehemu ya kufomat hDD format hiyo flash yako kwisha habari yake
Nimeijaribu njia uliyoniambia ila flash yangu haionekani miongoni mwa driver zinazoweza kuformatiwa.

IMG_20181113_110916.jpg
 
Yaani nimekutajia jina ni wewe tu kudownload bado hutosheki? Mi mwenyewe hapa nauliza jina tu wala sijataka nigewe tool.

Nimeidownload inanitaka niweke Activation keys,nishushie hapo mkuu,huyu Google ameshindwa kuniwkea,nisaidie mkuu
 
Nimeidownload inanitaka niweke Activation keys,nishushie hapo mkuu,huyu Google ameshindwa kuniwkea,nisaidie mkuu
Sikusaidii huna adabu.

Nakuzingua.

Download hii halafu chagua hiyo || au III iko poa kwa flash zingine zote isipokua kwenye sandisk.
 
Sikusaidii huna adabu.

Nakuzingua.

Download hii halafu chagua hiyo || au III iko poa kwa flash zingine zote isipokua kwenye sandisk.

Hahaaaaaaaa,poa sana mkuu,asante,ngoja nifanye mandingo sasa hivi,huyu Google ni amber rutty tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom