Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Hamna kingine ni haya mambo ya kujimwambafai mwambafai!
Hata ww unaweza kujua sababu mkuu itafute tu hapo.Wahandisi tuliowasomesha kwa kodi zetu njoon hapa mjimwambafai tupate majibu
Kupeana usumbufu tu!
Angalia tena hiyo picha mbona railway iko mbali hapo.Wamefanya hvyo ili kutafuta mwinuko.....wa kupishana na treni
Wamefanya hivyo kwa sababa ya driving comfortability.Angalia tena hiyo picha mbona railway iko mbali hapo.
Usiangalie upande mmoja peke yake ambapo huo mzunguko ulipo, angalia upande mwingne...Angalia tena hiyo picha mbona railway iko mbali hapo.
Usiangalie upande mmoja peke yake ambapo huo mzunguko ulipo, angalia upande mwingne...
Namaanisha km kusingekuwa na huo mzunguko..basi kungekuwa na mteremko mkali.. kungekuwa na ugumu kidogo Kwa mtu anaetoka upande wa reli kuja barabara kuu....hvyo basi huo mzunguko unapooza mwinuko
Umeona ee...na ukiangalia Kwa makini...hyo barabara ipo juu Sana kutokea chini..huo mzunguko umesaidia Sana kupunguza slopeExactly hata mimi ndio jibu nililopata. Ila kuhusu railway kule sio ishu. Ishu ilikuwa kupunguza ukali wa hiyo slope.
Mkuu mimi taaluma yangu ni ya vipande vya Computer hata waziri wa katiba na sheria Mahiga analijuwa hilo ππππHata ww unaweza kujua sababu mkuu itafute tu hapo.