Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,663
59,000
Magufuli wenu anahitaji wataalamu kutoka Rwanda, kiuhalisia Rwanda ina wataalamu wa kutoka chuo gani? Na wana historia yoyote duniani? Jambo gani wamelifanya mpaka rais wetu akalainika kiasi hicho na kuonyesha mapenzi ya dhati kwao?
May be i miss some points?
Please Help!!
Saint Ivuga
 
Mkuu sizani kama ni busara sana kuidharau Rwanda kama hauifuatilii, binafsi nimuangaliaji mzuri sana wa CNBC Africa na hauwezi kuamini kila mara wanapoongelea biashara east africa it is always Rwanda and Kenya, naweza kusema Rwanda is more of an investment destination for FDIs in east africa than Tanzania.

Kuhusu wataalamu wake kutokana na historia yao ye genocide nazani wengi wamesomea nje, kama unamkumbuka outgoing president wa Afdb, Donald Kageruka nazani alikuwa ametokea Rwanda.
 
Kwa hiyo Rwnd na TZ Rwnd wapo juu Kwa ajili ya investment? Dah basi hatari yaan Rwnd ni sawa sawa na mkoa labda wa dodoma kwa ukubwa yaan hiyo nchi ndiye iwe nchi ya mfano kwa TZ mmmm hatari .. sn
 
Hakuna shida kaka kutafuta ushauri kutoka kwa mtu yeyote sabab tunaziadiana, lkn hata ushaur unatakiwa upime vile vile ,ila kwa TZ kutafuta wataalam kwa RWND imekaa kushoto kdg.anyway tujipe matumaini.
Jamani mbona President Mkapa alimleta yule Professor wa Venezuela au Peru naye akafanya yake, tumpe muda Magufuli simnajua wa kwetu wote sasa hivi ni hofu tu! Hata kusema hapana ni shida, mpaka Gavana Ndulu alipo jitoa mhanga kwenye sakata la VAT kwenye transaction za bank. Waje tu watutsi ila wasihamie Ikulu, tukae nao Mbagala. Maana hao hawakawii kujimilikisha nchi ukiwaweka karibu sana kama Ikulu.
 
Amekurupuka, Tanzania tuna wataalam wazuri sana kuishinda Rwanda. Tatizo hawasikilizwi na wanasiasa wanaojiona wanajua kila kitu, hawapewi nyenzo za kileo kufanyia kazi na maamuzi yao kama Wataalam mara nyingi yanaingiliwa na wanasiasa.
 
Magufuli wenu anahitaji wataalamu kutoka Rwanda, kiuhalisia Rwanda ina wataalamu wa kutoka chuo gani? Na wana historia yoyote duniani? Jambo gani wamelifanya mpaka rais wetu akalainika kiasi hicho na kuonyesha mapenzi ya dhati kwao?
May be i miss some points?
Please Help!!
Saint Ivuga
Waliopo Rwanda ni Watanzania ambao huku kwetu ushauri wao wa kitalaamu huwekwa kabatini na kupuuzwa,wameenda Rwanda wanalipwa vizuri na utaalamu wao unafanyiwa kazi
 
Wewe unayelalamika umefanya nini? Acheni ujinga wa kijinga.
 
Unaponiuliza kwa hiyo Rwanda na Tz, Rwanda wapo juu kwa ajli ya investment unakuwa very ambigous coz sielewi unamaanisha wako juu kivipi.

Mind you I am only talkin about Rwanda from a business point of view, inawezekana Tz tunapokea FDIs nyingi zaidi kuliko Rwanda lakini kwa sababu hazina publicity most of us dont know about such projects, hivi unajua Rwanda kusajili kampuni kupata certificate of incorporation na leseni za biashara na all the required paperwork to get you into operation it takes less than 36 hours, they got a one stop counter for that.

Angalia kwenye easy of doing business wana rank position gani compared to Tz.
Kwa hiyo Rwnd na TZ Rwnd wapo juu Kwa ajili ya investment? Dah basi hatari yaan Rwnd ni sawa sawa na mkoa labda wa dodoma kwa ukubwa yaan hiyo nchi ndiye iwe nchi ya mfano kwa TZ mmmm hatari .. sn
 
sio kwamba rwanda ina wataalamu wazuri sana kuzidi tanzania,hapana tatizo watanzania "hatuaminiki" hata ndani wenyewe kwa wenyewe tunataka kufanya kazi kideal deal,tunajenga taifa hilohilolakini mtu anatumia utaalamu wake kujinulimbikizia mali na kunyonya wengine,wakati nchi kama rwanda inawataalamu wachache lakini wakuaminika...........(japo pia kuna rushwa)
 
Amekurupuka, Tanzania tuna wataalam wazuri sana kuishinda Rwanda. Tatizo hawasikilizwi na wanasiasa wanaojiona wanajua kila kitu, hawapewi nyenzo za kileo kufanyia kazi na maamuzi yao kama Wataalam mara nyingi yanaingiliwa na wanasiasa.
Well said BAK
 
Ninaamini kama Rais Magufuli angesema analeta wataalam kutoka Ulaya au Marekani, hizi kelele zote tusingezisikia kutokana na inferiority complex!

Kumbuka hata sisi tumeweza kupeleka wataalam wa tiba kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwenda kutoa utaalamu nchini Rwanda.

Kagame kila mwaka anatuma wananchi wake kuja kujifunza kwenye chuo cha kijeshi cha Monduli kwa sababu kwenye eneo la elimu ya kijeshi tuko zaidi ya Rwanda.

Kwenye nyanja kama ya IT, Rwanda wako mbali sana ukilinganisha na Tanzania.

Kagame amekusanya Wanyarwanda duniani kote baada ya kuwa Rais wa Rwanda.

Wanyarwanda wengi baada ya kupata ukimbizi katika nchi mbali mbali duniani waliamua kujihusisha sana na kisomo cha elimu ya juu (Degree) mpaka Uzamifu (Ph.D) kabla ya kuanza kufanya kazi.

Sisi tuna Watanzania wengi waliopata ukimbizi kama UK lakini wengi wao badala ya kujihusisha kwanza na elimu walichofanya ni kuanza manual work kitu ambacho kinawafanya kudumaa kielimu. Hata wale walienda kupata elimu zaidi na kupata Uraia wa UK, wengi wao wanafanya kazi ambazo ziko nje ya vyeti vyao na kwa sababu hiyo, elimu yao inakuwa ni kaput kwenye soko la ajira na matokeo yake, wanadumaa kielimu.

Watu wenye hekima na busara wanasema, kufahamu mapungufu yako ni mwanzo wa kuondoa mapungufu lakini kudhani huna mapungufu ni mwanzo na mwisho wa kutofahamu lolote.
 
Kwa hiyo Rwnd na TZ Rwnd wapo juu Kwa ajili ya investment? Dah basi hatari yaan Rwnd ni sawa sawa na mkoa labda wa dodoma kwa ukubwa yaan hiyo nchi ndiye iwe nchi ya mfano kwa TZ mmmm hatari .. sn
Kuna mtu aliuliza humu jf Kati ya Tabora na Uholanzi ipi kubwa? Na vp uchumi wa uholanzi VS Tabora
 
Magufuli wenu anahitaji wataalamu kutoka Rwanda, kiuhalisia Rwanda ina wataalamu wa kutoka chuo gani? Na wana historia yoyote duniani? Jambo gani wamelifanya mpaka rais wetu akalainika kiasi hicho na kuonyesha mapenzi ya dhati kwao?
May be i miss some points?
Please Help!!
Saint Ivuga
Wamefanikiwa kwenye maeneo ambayo Magufuli ameomba wataalamu. Mfano kwenye ukusanyaji kodi.
Alichoomba Magufuli hata nchi zilizoendelea duniani wanafanya pamoja na kuwa na wasomi wengi na vyuo bora.
Kama jirani yako kafanikiwa mwombe akufundishe na wewe mbinu za mafanikio la sivyo utabakia hapo hapo.
 
Kwa kweli bado sijapata jibu kwa TZ kutaka wataalam kutoka Rwnd kwa ajili ya kufufua air TZ .
Haingii akilini kibiashara sababu Rwnd air inahitaji kuwa na soka kubwa east Afrc au afric kwa jili la kukuza shirika lao la anga,KISHA WAWAPE TZ WATAALAM KWA AJILI YAKUFUFUA AIR TZ ilimlete ushindani wa kibiashara hii inaingia akilini, mm kwangu haingi akilini
 
Wanarudia makosa yale yale walipo ibinafsisha air tanzania na south african air line wakawadanganya wauze ndege zao mbili air tanzania sababu eti za kizamani wakijua fika hawata weza nunua ndege nyingine.ilikuwa ni mbinu yao na watanzania wanavyo penda deal wakachangamkia deal .
 
Back
Top Bottom