Turning back is not an option

Turning back is not an option

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1425152766619.jpg
 
Na waiwezao hufaidi mahaba mpaka kwenye kope na utamu huongezeka mpaka kisogoni
Mahaba ya jinsi hii raha yake asali tupu ni kama utamu wa shokishoki

Unapotaja shokishoki hakikisha ni msimu.......
Umenikwaza...........
 
Najibuje sasa........Kwani zikifreeziwa ndio zinanoga........?.......au nizile zikiwa mbichi.........?....

Chukuchuku ndio zinanoga na vinegar kwa mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom