Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
hawa jamaa bana..mi navyojua siku wakiwa na uwezo wa kuipiga israel hawatasubiri hata kutangaza kwenye media, wataishambulia immediately...hizi zingine porojo na mikwara..mbaya zaidi hiyo siku haitakaa itokee..wataendelea kutandikwa tu..
 
Reactions: jdl
Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.

wapalestina n wahuni wa jordan na egypt
 
Mkuu,sijui sababu za wao kudai Jerusalem ni yao wanazitoa wapi wakati wanajua ka bisa kuwa Jerusalem ni ya Wayahudi tangu hata Dini yao haijakuwepo

Hawa watu ni wazima kweli?

binafsi sikubaliani na ushabiki tunaouonyesha hpa kwa misingi yetu ya kidini kumbukeni wakati c tunaonyesha ushabiki wetu hpa kuna watu wanakufa huko, sasa tutakuwa watu wa ajabu kushabikia binadamu wenzetu kufa,kwa upande wangu siwezi kuthibitisha khs waisrael au wapalestina juu ya madai yao ila ninachokiona ni hali ya upande mmoja kuona wana haki zaid ya upande mwingine, siku wakitambua wote wana haki sawa khs sehemu husika basi tutaanza kuona dalili za amani mashariki ya kati .....jerusalemu ni sehemu muhimu kwa pande zote km kweli wana nia ya kweli ya kuumaliza huu mgogoro wagawane ardhi jambo ambalo linawezekana kbsa kwani kuna kpindi israel walikubali kutoa sehem ya mji huu kwa wapalestina ingawa mazungumzo yalikuja kukwama kwa hyo naamini kbsa inawezekana km kuna masikilizano
 
Elungata
Hiyo picha na habari haviendani... Picha ni ya Raisi na aliyezungumza hayo maneno ni Waziri Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha na habari haviendani... Picha ni ya Raisi na aliyezungumza hayo maneno ni Waziri Mkuu
Litakua tatizo la mod,mimi sikuweka picha bana,hata ivo hiyo siyo point.
ni bora pia ukafuata ushauri wa komeka kwani inaonekana una chuki kubwa rohoni mwako.
 
Ntuzu njoo huku, jamaa anadai eti hadi moderator aje kuokoa...




Hahaaaaa Mkuu mambo mengine yanafurahisha sn...! Huyu jamaa yangu Elungata anasema Jerusalem ilikuwepo kabla ya Ibrahimu..... Wakati huo dunia ilikua chini ya dola ipi? Hebu tuanze na Hilo kwanza....!


Alafu nikija ktk mada yake Hao waturuki hawawezi Kumfanya chochote muisrael....!
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana Dunia imejaa mpaka watu wanagombea ardhi...mi naona wote wanamatatizo mbona Tanzania kuna makabila 120...wao mawili tu
 
Hiyo picha na habari haviendani... Picha ni ya Raisi na aliyezungumza hayo maneno ni Waziri Mkuu

Teh teh teh!
Mijitu inayojifanya inajua wakati hamna Kitu ni shida tu.
We unamfahamu waziri mkuu wa Turkey?

Mnfnssssssssss!
Hebu kahare huko. Huna llt ulijualo.

Hebu tuwekee hio picha Ya waziri mkuu sasa Tuone akili yako ilivyo na Akili.
 
Chuki zipi zangu Mada inawahusu Waturuki na ubabe wanaotaka kuja kuufanya wakati hawana uwezo huo... au unataka niwasapoti hayo maturuki? nadhani hujui chuki za Waislam kwa wasiokuwa waislam...

We u support au usi support nani anaekujua?
Mkerewe Unaeishi kwa Kusafisha Utumbk wa Samaki Nani anasjida na hilo Vumba lako?
We ndio Ukiskia debe tupu huwa haliachi kupiga kelele.
Utalalama huko ukerewe weeeee! Ukimaliza Utafunga kopo lako lkn waungwana Wanaendeleza Mambo yao km kawaida.
Shukuru JF japo Unepewa nafasi ya Kujadili Na waungwana.
I bet huko uliko hata jirani Hakutambui km uko Duniani!

Watu km nyie mnatusababishia Pollution tu na Kumaliza Oxygen na hizo pua kubwa Km Ngumi ya mwizi.
 
hiv waarabu wanaitakia nini jerusalam.jerusalem mali ya israel wala si waarabu
 
hii list sio ya ukweli.kwa akili ndogo sana ujeruman,ufaransa,uingereza haziwezi kupitwa na india .hii list umetunga
 
tatizo lake ni ushabiki ,turkey ina nguvu za kijeshi na za kiuchumi kuzidi israel.

waambie turkey wajaribu.unacheza nataifa la yakobo.unataka au unataka bahari igawanyike tena
 
Wapi ktk hayo maandiko kumetajwa hawa jamaa watafutwa? Ok hili tukio la kuzingirwa na kupondwa lilitokea mwaka 70 A.D na Si kwamba wayahudi wote walifutwa na wala maandiko hayasemi hivyo kwamba watafutwa km wewe ulivyosema hapo....!

Na pia umetumia nukulu kutoka kitabu cha biblia kutuonyesha utabiri juu ya Israel na huu unabii ulitimia kwa Dola ya Rumi kuwavamia Wayahudi mwaka 70. Hii ikiwa na Maana kwamba kitabu cha Biblia ni kitabu cha kweli na Yote kiyasemayo yanatimia....! Swali langu ni kwamba Kwanini usitumie kitabu chenu kutupatia huu unabii wa tukio la mwaka 70? Hebu tuletee huo unabii kutokana na Quran..!
 
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan

Hii list hai-take into considerationnuclear capabilities za nchi husika, na Israel is a nuclear power while Turkey is not, achilia mbali submarinesmpya za kisasa kabisa with nuclear capability itakazopata kutoka Germany hivi karibuni!! Israel haitasita kutumia nuclear wepons zake kwani kushindwa kwa vita kwao ni mwisho wa taifa kuwepo. Sasa Turkey kama wana ubavu wajaribu.
 

.............Wewe jifurahishe tuu ! :wave:...........kama wanatolewa jasho na HAMAS na HIZBULLAH, sembuse Uturuki !
Unamjua Hassan Nasrallah ? AZUSA STREET
 
Last edited by a moderator:
Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.

mkuu unaijua historia ya waisrael na wapalestina vizuri. Kwa unavojua ww mpalestina asili yake wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…