Turkey President In Tanzania Updates

Just few hours have remained before the arrival of Turkish President in The Land of Kilimanjaro Serengeti and Zanzibar... I mean Tanzania...... Please stay for more updates I will be in tact
 
Kwanza amepewa kinywaji / chakula gani?

Na ni nani aliyemhudumia?

Hatutaki aibu huko ulaya sisi....TUMECHOKA.
 
njoo tu mzee maana ile safisha safisha ulioipiga uturuki hakuna atakayejaribu kufanya tena mapinduzi
 
Back
Top Bottom