Turkey imeanza vita na Syria.

Turkey imeanza vita na Syria.

they have to stop killing each other especially innocent civilians who suffer than thz greedy pathetic politicians
agrrrrrrr
 
Bunge la uturuki limeshapitisha azimio kwamba jeshi la rhuksa kuingia ndani ya Syria if neccessary.Source ni cnn.
 
Tunaingia katika vita kuu ya tatu sasa tuongeze ibada zaidi maana ikichanganya tu wanaanza kuichokoza Iran.Na vita hizi mjue zitatumika silaha za nyuklia vilevile kwasababu vishindo vitakuwa sio kidogo ndugu zangu.Hapo bado mrusi hajatia nguvu yake na mchina nae hajulikani anavishindo gani.UN ni bure kabisa bora ifungiliwe mbali ijulikane moja haisaidii chochote ktk hii dunia ila unafik tuuu bas.
 
Uturuki yaidhinisha mashambulizi Syria.

121004131424_turkey_syria_304x171_getty_nocredit.jpg
Majeshi ya Uturuki mpakani na Syria

Bunge la Uturuki limetoa idhini kwa mashambulio ya kijeshi nje ya mpaka wake na Syria, iwapo hatua hiyo itahitajika na serikali. Hii inakuja baada ya Syria kufanya shambulizi kali dhidi ya Uturuki na kuwaua watu kadhaa.
Mswaada ulipitishwa na wabunge 320 na kupingwa na wabunge 129, pia inaruhusu mashambuizi dhidi ya maslahi ya Syria.

Hii inajiri saa chache tuu baada ya Uturuki kurejelea mashambulio ya kituo kimoja cha kijeshi cha Syria baada ya watu watano kuuwawa na mabomu ya Syria ndani ya Uturuki.

Naibu waziri Mkuu wa Uturuki Besir Atalay hata hivyo amesema idhini hiyo ya bunge sio hatua ya vita. Amesema Uturuki itachukua hatua hiyo kwa ushirikiano na taasisi nyingine zinazohusiana na mzozo wa Syria

Uturuki imekuwa ikifanya mashambulzi ndani ya Syria tangu siku ya Jumatano na kuwaua wanawake wawili na watoto watatu.
Kushambulia kwa makombora kwa Uturuki dhidi ya Syria na kuitisha kwake kwa mkutano wa dharura wa mabalozi wa mataifa

wanachama wa NATO ni ilani tosha kwa Serikali ya Damascus.

Hii ni ishara kuwa uvumilivu wa Uturuki umefikia kikomo na kwamba Rais Bashar Al Asad atarajie kwamba Uturuki itaendelea kumshambulia mara kwa mara kuanzia leo.

NATO imeunga mkono kikamilifu Serikali ya Uturuki kama ilivyofanya mnamo Juni wakati makombora ya Syria yalipoangusha ndege ya Uturuki.


Kuna wakati ambapo Uturuki ilitaka kuwepo eneo nchini Syria ambako wakimbizi wa nchini humo wangeweza kupewa mahitaji bila kuingizwa Uturuki lakini dhana hii hawajaizingatia sana.


Wanachotaka hasa ni kushambulia Syria lakini kwa ushirikiano na NATO. BBC Swahili - Habari - Uturuki yaidhinisha mashambulizi Syria

 
Several videos have lately emerged showing "Free Syrian Army" (FSA) terrorists launching rockets and mortar rounds from the town of Tell Abyad, al-Raqqa province, which is the same town from which Turkey says the rockets are being fired into the neighboring Turkish town of Akçakale. The very first false flag attack that caused Turkey to start bombing Syria was launched from Tell Abyad.

video hapa LiveLeak.com - FSA Terrorists Launch Rockets into Turkey from Tell Abyad, Syria
 
Naona Turkey wameamua kabisa kumchokoza Al Assad

Wamezuia civilian aircraft eti ina mzigo waliopaswa kudeclare( Military communication equipments)

Russia kaingia nae anataka Turkey watoe explanation
 
Turkey has deployed 250 tanks along its southern border with Syria amid rising tensions with the Damascus government over the past few days.


The tanks along with military vehicles of the Turkish Armed Forces, artillery units and a large number of military personnel, were dispatched to the southeastern provinces of Sanliurfa, Gaziantep and Mardin at the Turkish-Syrian border, Turkey's Hurriyet newspaper reported

link PressTV - Turkey deploys 250 tanks near Syrian border amid escalating tensions
 
Back
Top Bottom