Tupo kikazi zaidi

ubinadamu kwishney!kila mtu mpiga picha siku hizi...
 
Ubinadam kazi sana,mtu akiwa kwenye matatizo unakuwa busy tu.
 
hahahaaaaaaaa kweli utandauwozo umetuharibu kabsaaaa

Na akili zetu ndio zinazidi kuoza na makampuni kila siku wanatengeneza vitu vipya na mambo mapya zaidi ili watuozeshe zaidi akili zetu tusifikirie mambo ya maisha yetu ya kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…