Tupike simple and light breakfast

Uzungu bwashee watoto wa kishua utawaweza , hapo mimi nafuta mkungu wa ndizi na sado ya mbege yeye anakula ndizi moja na chai😅
Bwashee,hicho anachokula,mimi ningekua nakilia njiani huku natembea wakati nikifuata Dukani kilo 2 za mchele na maharage nusu kilo na Soda kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…