Tupike simple and light breakfast

Mm nachukia ndizi
 
Chai na ndizi mbivu πŸ™ŒπŸ™Œ

Halafu kuna watu wanasema ati hakuna jipya chini ya jua!
Ni wewe tu na ugeni wako wa vitu, chai ni kifungua kinywa kupasha mwili joto na kuukunjua utumbo na akaweka na ndizi kama tunda safi kabisa sasa ajabu ni nini,ulitegemea vitumbua sio lazima choice nzuri kiafya aliyoichagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…