Tupike prawns(kamba)wa nazi

Tupike prawns(kamba)wa nazi

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,994
Reaction score
48,498
I hope mnaendelea vizuri leo nimewaletea prwans wengine tunaita dagaa kamba wa nazi watu wa pwani nafikiri mtakuwa mnaelewa utamu wa kamba
Screenshot_2025_0519_203940.png

Mahitaji
Prawns 🦐 wabichi
Nyanya moja ndogo
Karot,hoho,tangawizi,saumu,kitunguu maji na nazi

Nimeanza kwa kuwatoa prwans vichwa na ngozi ya juu ili ibaki nyama ya ndani

Nikawaosha kisha nikawaweka kitunguu swaumu na tangawiz nilosaga nikamarinate kwa muda wa dakika 10 kuacha viungo viingie vizuri

Nikaandaa viungo nikasaga nyanya karoti na kukata kitunguu maji

Nikabandika sufuria jikoni nikaweka mafuta ya kula kidogo nikaanza kwa kukaanga kitunguu sikutak kiwe brown kilivolainika nikaweka prawns kisha chumvi kidogo nikawakaanga kwa dakika chache

Kisha nikaweka karoti kisha hoho nikageuza geuza had nilipoona viungo vimelainika
IMG_20250514_195240.jpg

nikaweka maji vijiko 4 vya chakula ili niwez kuweka nazi yangu vizuri kwan nilitumia ya pakt ilikuwa nzito sana

Nikaacha kwa dakika 3 wakawa tayari unaweza kula na wali au chochote unachopenda
Snapchat-2125386127~2.jpg
Snapchat-981766418.jpg
 
I hope mnaendelea vizuri leo nimewaletea prwans wengine tunaita dagaa kamba wa nazi watu wa pwani nafikiri mtakuwa mnaelewa utamu wa kamba
View attachment 3343674
Mahitaji
Prawns 🦐 wabichi
Nyanya moja ndogo
Karot,hoho,tangawizi,saumu,kitunguu maji na nazi

Nimeanza kwa kuwatoa prwans vichwa na ngozi ya juu ili ibaki nyama ya ndani

Nikawaosha kisha nikawaweka kitunguu swaumu na tangawiz nilosaga nikamarinate kwa muda wa dakika 10 kuacha viungo viingie vizuri

Nikaandaa viungo nikasaga nyanya karoti na kukata kitunguu maji

Nikabandika sufuria jikoni nikaweka mafuta ya kula kidogo nikaanza kwa kukaanga kitunguu sikutak kiwe brown kilivolainika nikaweka prawns kisha chumvi kidogo nikawakaanga kwa dakika chache

Kisha nikaweka karoti kisha hoho nikageuza geuza had nilipoona viungo vimelainika
View attachment 3343676
nikaweka maji vijiko 4 vya chakula ili niwez kuweka nazi yangu vizuri kwan nilitumia ya pakt ilikuwa nzito sana

Nikaacha kwa dakika 3 wakawa tayari unaweza kula na wali au chochote unachopendaView attachment 3343678View attachment 3343679
Nimependa sana 😍😍😍😍😍😍😍
 
Huku mkoani nmemisi sanaaa sijui ntakula lini
 
Nikipata Na Juisi Ya Ubuyu Bariidi Au Juisi Ya Passion Baríidi....Kwa Ajili Ya Eskoti Toka Mdomoni,,,Kukatiza Kooni,,,Kuelekea Kwenye Utumbo Mwembamba,,Mmeng'enyo Unaendelea Kuelekea Kwenye Utumbo Mpana,Hadi Kutoka Kama Najisih...Itakuwa Bwena Kinoma nomaa Mpendwa Mpishi...
 
Nawapenda sana hao kamba nilie na ugali yaan mm nawakaanga tu sijawai pika wa mchuzi watamu sana uku nawapata wapi uku 😂😂😂😂
Yan huku nilipo now ni weng sabbu ya mvua kibakuli kidogo elf 2
 
I hope mnaendelea vizuri leo nimewaletea prwans wengine tunaita dagaa kamba wa nazi watu wa pwani nafikiri mtakuwa mnaelewa utamu wa kamba
View attachment 3343674
Mahitaji
Prawns 🦐 wabichi
Nyanya moja ndogo
Karot,hoho,tangawizi,saumu,kitunguu maji na nazi

Nimeanza kwa kuwatoa prwans vichwa na ngozi ya juu ili ibaki nyama ya ndani

Nikawaosha kisha nikawaweka kitunguu swaumu na tangawiz nilosaga nikamarinate kwa muda wa dakika 10 kuacha viungo viingie vizuri

Nikaandaa viungo nikasaga nyanya karoti na kukata kitunguu maji

Nikabandika sufuria jikoni nikaweka mafuta ya kula kidogo nikaanza kwa kukaanga kitunguu sikutak kiwe brown kilivolainika nikaweka prawns kisha chumvi kidogo nikawakaanga kwa dakika chache

Kisha nikaweka karoti kisha hoho nikageuza geuza had nilipoona viungo vimelainika
View attachment 3343676
nikaweka maji vijiko 4 vya chakula ili niwez kuweka nazi yangu vizuri kwan nilitumia ya pakt ilikuwa nzito sana

Nikaacha kwa dakika 3 wakawa tayari unaweza kula na wali au chochote unachopendaView attachment 3343678View attachment 3343679
Kumbe unajua kupika...aisee hapo ni kula kushiba na kumkula mpishi pia
 
Kwanini watu wanakula vitu vya ajabu namna hii?
 
Ni watamu sana japo sijawahi kula na wali

Umenunua wapi?
 
Supu mbaya,haina hata Karoti wala hoho,impwaya sana.

Huo mkia wa Nini sasa si ungekatwa tuu
Mkia unasababisha mchuzi kuwa mzito. Supu ya samaki fresh ni chumvi na maji tu. Hoho karoti ziende kwenye samaki wenye shombo..... Vibua ksmbale ngizi 😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom