Tupike ndizi nyama ya kukaanga

Tupike ndizi nyama ya kukaanga

Hello

Najua mesoma sana thread za siasa now mnatakiwa kutuliza akili ikae sawa kidogo

Tuanze mtindo uhu ni raisi na hauli mda wako kabisa
Kwanza menya ndizi zako kisha kata style unayopenda mimi nilichanganya na viazi baada ya hapo kaanga zio ndizi na zisikauke sana

Baada ya hapo chukua sufuria yako na nyama ilio chemshwa anza kukaanga na uweke kitunguu
View attachment 3391497
Kitunguu hakikisha hakiungui kabisa kikisha legea weka ndizi
View attachment 3391498
Na baada ya hapo zichanganye vizuri kisha weka hoho na karoti zako
View attachment 3391499
Kisha changanya nazo vizuri moto weka mdogo tu ili ziive pole pole usiwe na haraka
View attachment 3391501
Chakula changu kinaonekana kama hivyo karibuni sana wote ukijua kupika hiki chakula uta tamani kila siku upike
View attachment 3391502Na juice yako freshi kabisa jioni imepita

Cc: kitalembwa GWAMAKA USWEGE min -me mbwangali Harmful Half american ephen_ Poor Brain Mwendamseke Financial Analyst financial services
Good
 
Ee dogo si unajua tena sie wengine kazi zetu zinategemea nguvu zetu😀ule hivyo unaweza kubonda kokoto kweli au kutupia mchanga kwenye Tipa mpaka lijae 😀
Ahahah huwezi hii chakula ni kwasisi jobless
 
Safi sana masta, sasa hapo si haushibi aisee, sisi wachoma mkaa hio ni mboga ya ugali ! Hapo inabidi usongwe ugali mkubwa sana 😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom