Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #121
Itakua we mpareNimeyamiss
Kesho napika
Kwa uchawi pia mko vizurItakua we mpare
Hapa wapare tutajulikana sana.
Kwa afya sawa. Ila kwa utamu naweka mafuta kiasi na nazi.Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande.
Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya!
Hatuwazidi nyie wachagaKwa uchawi pia mko vizur
Ulimola ephenMimi msukuma
UlimolaUlimola ephen
Toka zako Mngoni weweUlimola
Halafu Wala ila nayapendaItakua we mpare
Hapa wapare tutajulikana sana.
We jifiche tu ipo siku tutakutana ugwenoHalafu Wala ila nayapenda
Kabisa bro 😂😂😂😂 mi na wapare ni maji na mafutaAchana na sisi...najua hutupendi!!!🤣🤣
We pendana na wasukuma🤣🤣Kabisa bro 😂😂😂😂 mi na wapare ni maji na mafuta