Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Tukianza kula tunakula ugali mkubwa na tunaweka ugali mdogo ndio mboga.....hadi rahaWe pendana na wasukuma🤣🤣
Tukianza kula tunakula ugali mkubwa na tunaweka ugali mdogo ndio mboga.....hadi rahaWe pendana na wasukuma🤣🤣
😂😂😂😂We jifiche tu ipo siku tutakutana ugweno
Hujambo, ulipotea😂😂😂😂
Niko poa mkuuHujambo, ulipotea
Sawa mkuu ni jambo jema kama uko poa.Niko poa mkuu
Nipo sema tunapishana tu kwenye majukwaa
Naomba ufafanuzi zaidi katika hili Ndugu yangu...kama kuna Elimu Dunia hapaKatika chakula ambacho napatia kupika ni makande.
Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya!